Kwanini rais wa TFF anapenda kuvaa masuti mpaka uwanjani, hata Jezi ya timu ya Taifa hana

emmanuel mhecha

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
933
542
Ni mtizamo tu,nimefuatilia kila anapohuzuria jambo lolote uwanjani huwa anava suti,sasa je ofisin suti na uwanjani suti hata kupiga Jezi ya timu ya taifa anashindwa,na Mpira alicheza kweli enzi za ujana!!!!!!!
 
Si unajua tena Nshomile (Mhaya) bila suti anajiona kama vile hajavaa. We ushawahi kumuona yule Dr. Banwa akaongea bila suti & Miwani?
 
Suti nyingi haziongezi maarifa,aache mambo ya kimshomire watu wanataka kuona soka sio figusifigusu
 
Anajiandaa na misuti siku akiwa Rais wa FIFA asipate tabu.
By the way, kwani washalipa ile Kodi wanayodaiwa na TRA?
 
Kuna mambo mengi ya kuhoji juu ya Malinzi, mleta mada bado hujakosea, lakini wapuuzi wengine wanaishia kufikiria ukabila, kwani akivaa suti masaa yote ndo utambulisho wa Wahaya
 
Acheni mambo yenu ya kishamba, kila mtu ana aina ya mavazi anayopenda, hatuwezi kufanana, ingekuwa ni lazima kuvaa mijezi ukiwa uwanjani basi tungeona makocha kama Conte, Wenger, Mourinho nk. wanavaa hayo majezi
Yeye ni Icon wa football member
 
Back
Top Bottom