alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Maana yangu ni kuwa;
Mfano,wapinzani hupiga kelele kweli kumpinga kiongozi wa nchi husika.Lkn na ajabu pindi wawapo jirani naye huweweseka na mwisho huishia kumpongeza kwa bashasha na furaha!
Wakati mwingine watu haohao wampingao huenda mbali zaidi na kumpamba kwa kila jema ilhali janaye walimponda kwa kila baya na ovu!
Kwa nini hali hiyo kutokea?!Au,wapinga kila kitu hao ni wanafiki?!