Mimi nashindwa kuelewa kwanini kodi tukatwe sie tu tunaolipwa senti mbili lakini wabunge, mawaziri na rais hawakatwi. What is so special about them wasikatwe kodi? Kwanini sie ndo tupigiwe kelele za kuwa wazalendo tulipe kodi wakati wao they get everything for free? Hiyo haki sawa kwa wote ilioandikwa kwenye katiba iko wapi?
Kuna haja yakuwa na principles of taxation kwenye sheria zetu. Sio kodi zikatwe kwa matabaka tu.
mkuu taxbabe hebu rudi kidogo kwenye income tax law.2004 second schedule exemption amountMimi nashindwa kuelewa kwanini kodi tukatwe sie tu tunaolipwa senti mbili lakini wabunge, mawaziri na rais hawakatwi. What is so special about them wasikatwe kodi? Kwanini sie ndo tupigiwe kelele za kuwa wazalendo tulipe kodi wakati wao they get everything for free? Hiyo haki sawa kwa wote ilioandikwa kwenye katiba iko wapi?
Kuna haja yakuwa na principles of taxation kwenye sheria zetu. Sio kodi zikatwe kwa matabaka tu.
mkuu kwani kodi ni mbaya kulipa? ni jambo jema sana.Maendeleo hayatakuja kutoka mbinguni?Kuna wakati TRA wakamweka Kikwete eti ahimize ulipaji wa kodi! What a joke!
Kama unataka kuhamasisha watu walipe kodi tumia wanaolipa kodi ndio wahamasishe. Kikwete halipi kodi - sijui mara ya mwisho kulipa kodi ni lini - atahamasishaje watu walipe kodi. Labda wewe ndugu yangu, lakini mimi niliona ni kituko tu!mkuu kwani kodi ni mbaya kulipa? ni jambo jema sana.Maendeleo hayatakuja kutoka mbinguni?
Mimi nashindwa kuelewa kwanini kodi tukatwe sie tu tunaolipwa senti mbili lakini wabunge, mawaziri na rais hawakatwi. What is so special about them wasikatwe kodi? Kwanini sie ndo tupigiwe kelele za kuwa wazalendo tulipe kodi wakati wao they get everything for free? Hiyo haki sawa kwa wote ilioandikwa kwenye katiba iko wapi?
Kuna haja yakuwa na principles of taxation kwenye sheria zetu. Sio kodi zikatwe kwa matabaka tu.
Kwani katiba iliyoko inasemaje kuhusu hili?
Siyo Raia wa Tanganyika. Kodi duniani kote wanalipa Raia.
Kusema kweli hata mi inaniuma sana, hapa hakuna usawa! kwa nini pia wafanyabiashara wanalipa kila mwaka badala ya kila mwezi ka wanavyofanya watumishi wengine waumma ambao hukatwa kila mwezi? there must be equal right and justice!
Siyo Raia wa Tanganyika. Kodi duniani kote wanalipa Raia.
Income tax inalipwa kwa mwaka. Kwa wafanya biashara inaangaliwa mapato yote ya mwaka huo, lakini kwa sisi wafanyakazi inabidi ikatwe kwa mwezi na bosi wako. Maana ukipewa yote alafu ukalipie mwenyewe mwisho wa mwaka itakuwa ngumu kulipa.