Kitu tangible ulichotaja apo ni ndege tu. Mabarabara yanajengwa na kuwekewa viraka kila kukicha. Huu ni kma mradi endelevu kwa nchi za africa.
Ayo mandege mimi binafsi sitaki yaskia. Kipindi cha kikwete tulipanda ndege had kwa elf 70000. Sasa hiv ndege zmekuwa za waheshimiwa tu.
Elimu bure ilo ndyo ni bomu litakuja kuripuka muda si mrefu na si mfupi sana. Wanafunzi yanamaliza 4m4 mazezeta. Huwezi amini, sasa hiv kijana anamaliza 4m4 hajui hata kutunga sentensi ya kingereza. Kuandika nako ndyo imekuwa msiba wa taifa.
Sent using
Jamii Forums mobile app