Kwanini Rais Magufuli lazima aombewe ....

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
19,703
Reaction score
37,931
Kama tunataka au hatutaki Mh, Dr, na Rais Magufuli ndiye rais wa Tanzania. Maamuzi yake yana athiri kila mtu, anayeishi Tanzania, Awe Mkristo, Muislam, dini yeyote hata asiye na dini. Anachoamua kima mazara kwa kila mtu.

Based kwa kanuni za ki kristo, haijalishi una mtazamo gani kumhusu, ni Lazima umuombee, zaidi kabisa tunapoona anapata changamoto nyingi sana, hizi changamoto will soon or later have effects in our lives.

TUJITAHIDI SANA SANA KUMUOMBEA RAIS WETU NA MUNGU AMSAIDIE AENDELEE KUWA NA HEKIMA KUFANYA MAAMUZI YATAKAYOTUSAIDIA. TUKIACHA KUMUOMBEA HATUMKOMOI, TUNAJIKOMOA WOTE.
 
Jamaa simkubali kabisa.... anaendesha nchi kama familia yake.... ubabe tu
 
Kama tunataka au hatutaki Mh, Dr, na Rais Magufuli ndiye rais wa Tanzania. Maamuzi yake yana athiri kila mtu, anayeishi Tanzania, Awe Mkristo, Muislam, dini yeyote hata asiye na dini. Anachoamua kima mazara kwa kila mtu.

Based kwa kanuni za ki kristo, haijalishi una mtazamo gani kumhusu, ni Lazima umuombee, zaidi kabisa tunapoona anapata changamoto nyingi sana, hizi changamoto will soon or later have effects in our lives.

TUJITAHIDI SANA SANA KUMUOMBEA RAIS WETU NA MUNGU AMSAIDIE AENDELEE KUWA NA HEKIMA KUFANYA MAAMUZI YATAKAYOTUSAIDIA. TUKIACHA KUMUOMBEA HATUMKOMOI, TUNAJIKOMOA WOTE.
Muombee wewe na familia yako, husitusumbue!!
 
Kwenye Maombi yenu Msisahau kuwaombea na Wale Wanao Mshauri Vibaya Waache kabisa
 
ni kweli kabisa hatuna budi kumtanguliza Mungu katika kila jambo hususani hili la kiongozi wa taifa
 
Kama tunataka au hatutaki Mh, Dr, na Rais Magufuli ndiye rais wa Tanzania. Maamuzi yake yana athiri kila mtu, anayeishi Tanzania, Awe Mkristo, Muislam, dini yeyote hata asiye na dini. Anachoamua kima mazara kwa kila mtu.

Based kwa kanuni za ki kristo, haijalishi una mtazamo gani kumhusu, ni Lazima umuombee, zaidi kabisa tunapoona anapata changamoto nyingi sana, hizi changamoto will soon or later have effects in our lives.

TUJITAHIDI SANA SANA KUMUOMBEA RAIS WETU NA MUNGU AMSAIDIE AENDELEE KUWA NA HEKIMA KUFANYA MAAMUZI YATAKAYOTUSAIDIA. TUKIACHA KUMUOMBEA HATUMKOMOI, TUNAJIKOMOA WOTE.
Hata albadir nayo ni dua
 
Niulize, kama hukutenda dhambi na utembei na mabaya, utapita majukwaani ukiomba kuombewa? Uombewe nini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli tuzidi kumwombea rais wetu.
Mungu hutengeneza njia pasipo na njia.
Lisilowezekana na mwanadamu, linawezekana kwa Mungu.
Basi ungana nami kupitia video hii kumwombea raisi wetu, kuombea nchi yetu na kujiombea wewe binafsi na jamaa zako.
 
Mimi nadhani Anasisitiza aombewe ili asije dhulika, kwasababu ya maamuzi yake ambayo kimsingi yamekua yakigusa maisha ya watu wengi as individuals na Makampuni pia.

Ila kinachonisikitisha ni huu upepo uliojitokeza hivi karibuni wa kuzuia watu wanao waombewa wenzao waliopatwa na matatizo, hebu jaribu kujifikiria kuna ubaya gani kuvaa Tshirt inayomtakia afya njema Mgonjwa aliyenusurika kuuawa? kwa upepo huu sidhani hata kama watu wataweza kuendelea kumuombea JPM
 
muombeeni tu maana wamemsukumiza bila maandalizi...
hahaaaaa !
 
Lazima kuombewa ila hakika angetaka kuombewa kwa kuwekewa mikono na watu wenye Roho mtakatifu ingekuwa vizuri zaidi.
Kwahakika mapepo yangemtoka na angeiendesha nchi vizuri.
 
Lazima kuombewa ila hakika angetaka kuombewa kwa kuwekewa mikono na watu wenye Roho mtakatifu ingekuwa vizuri zaidi.
Kwahakika mapepo yangemkimbia mara moja na angeiendesha nchi vizuri.
Note:Sijasema ana mapepo, wala sijasema hana mapepo.
 
3c69aac70daf780c925cea33a874cd6d.jpg
 
Back
Top Bottom