Gsana JF-Expert Member Joined Aug 28, 2010 Posts 4,383 Reaction score 1,342 Apr 6, 2011 #21 Siku inakuja ambapo utajiuliza pia kwa nini Kivuko cha Ferry kivukoni_kigamboni iliruhusiwa kufanya kazi siku ya wajinga!
Siku inakuja ambapo utajiuliza pia kwa nini Kivuko cha Ferry kivukoni_kigamboni iliruhusiwa kufanya kazi siku ya wajinga!
CYPRIAN MKALI Senior Member Joined Nov 12, 2010 Posts 176 Reaction score 67 Apr 6, 2011 #22 nafikiri hiyo thread ingekusaidia kama ungeuza iwe "heading" ya magazeti ya udaku