Ndugulile nae alizungumzwa vibaya na waTZ kwa kiwango kama cha Janabi?Yaani ilipaswa baada ya Rais kusema iwe agenda ya wote kumzungumza vizuri prof maana akishindq yeye Tanzania imeshinda Lakini sivyo kwa baadhi ya watu Hebu tupendane,tuipende nchi yetu.Sio kupinga tu kila kitu .