Kwanini Prince Bagenda na Buberwa Kaiza wanaonesha kumchukia Rais Magufuli japo walikuwa wapiga debe wake mwaka 2015

Wewe sio Muhaya otherwise kama ni Muhaya you are sarcastic!!! Wahaya including the retiring mama mboga definitely have an axe to grind with JIWE!!
Iweke tuu kama kumbukumbu! Baada ya uchaguzi utaniambia kura za magufuli ngapi mkoa wa kagera.
 
Atakuja ila tutamshangaza sana kwenye sanduku..wahaya bado tunayakumbuka makejeli yake wakati wa tukio la tetemeko
Buberwa Kaiza na Prince Bagenda ndio wanaandika makala za kichochezi dhidi ya Jamhuri ya Muungano na wanataka wahaya waichukie Jamhuri,

Nadhani hata taasisi yao ya FORDIA inaendeshwa bila kufata taratibu na sheria, sijui kama mahesabu yao yako sawa au wanaitumia kutakatisha
 
Nadhani dhana ya umdhaniaye siye imepita kichwani mwao kwa spidi ya umeme na kuwagutusha.
 
chinembe ni kwanini Mtukufu Rais anasemwa na kuandikwa vibaya? Ni kwanini ndani ya chama chake pia watu wamegawanyika?
Mbona migawanyiko tunaishuhufia kote kote vyama vyote? Hata freeman zito wote wanaandikwa vibaya hata ndan ya chama
 
Hawa watu walikuwa wapiga debe wakubwa wa JPM 2015, waliandika makala za kumsifu na kumjenga kisiasa.

Lakini naona siku za karibuni wameanza kuonyesha upinzani mkubwa sana kwa Rais wetu mpendwa.

Buberwa Kaiza katika kurasa zake za mitandao ya kijamii, anafanya ukosoaji mkubwa japo anajaribu kujifichaficha

Prince Bagenda yeye alifikia kutunga kitabu,japo kabla hajakiachia, vyombo vyetu pendwa vya usalama vikampa angalizo

Je, watu hawa wana uroho wa madaraka walidhani kwa kuandika vipeperushi tu wangepata uteuzi? Watanzania tumekuwaje? Kila kitu ukifanya mpaka upate kitu?

Viva JPM
#matege
sasa hawa ni CCM 2 tu waliomgeuka jamaa unaowajua.
je wale CCM ambao hawajulikani kama akina siye hapa? tupo kwa mamilioni!

mwaka huu October ni 💥💥💥💥💥!!!
 
Hahaaa
,hakika kabisa,watu wamesubiri milioni 50 kila kijiji....wameachwa kwenye mataa
Una uhakika? Mimi mbona nimezilamba hizi!!Tulitengeneza kakikundi ka kizushi tukalamba 1.5m tena kwa kufuata utaratibu!!
 
Naiamini sana JF kwa asilimia kubwa ya watu waliomo humu JF wana uelewa wa mambo kwa kiasi kikubwa. Ukiangalia walio wengi humu hawafurahishwi na utawala wa Rais Magufuli na kuna wengine wanafurahishwa na Utawala wa Rais Magufuli. Hawa wana JF ni wawakilishi wazuri wa jamii iliyoko nje ya uwanja huu, aidha walioko nje km FB na Watsap hawana uhuru wa kutema nyongo zao maana mtu ukicheua vibaya tu dhidi ya serikali unanaswa kwa ulaini sana tofauti na huku JF ambako wengi wanatumia FAKE identifications jambo linalowapelekea kuwa huru na kusema lolote wanalotaka . Siku ya kupiga kura 28/10/2020 baada ya kutoka kwenye BoX la kura NINGEOMBA wana JF turejee huku tena tupige kura humu humu kwa ngazi ya RAIS tu, alafu tuweke matokeo wazi, kura zitakazo pigwa humu ndizo zitatupatia picha halisi ya kitakachokuwa kimefanyika kwenye Box la kura.
 
Back
Top Bottom