Kwanini polisi hapa kwetu wanatumia namba hizi za kigeni kwenye gari lao?

Movado

Senior Member
Feb 20, 2013
105
28
ImageUploadedByJamiiForums1391164954.812557.jpg

Hizi namba za wapi? Na kwanini inatumika??
 
ni sababu za kiusalama tuu, ndio maana hata kipindi flani walitumia sana TZR ambazo ni namba za kiraia.
 
Hebu waiteni kina joka kuu, jasusi, Moshe Dayan, Pasco, na Yericko labda watakuwa wanajua tusichokijua
 
Hizo namba zinatumika kwa baadhi ya magari yanayotumiwa na makachero (detectives) ili wahalifu wasiweze kuwagundua,hii huwasaidia kupata kiurahisi taarifa muhimu kuhusu wahalifu na pia wanaweza kuweka mtego kwa ajili ya kukamata criminals bila ya kujulikana.wanaweza kutumia namba zozote pasipo kujali ni za wapi hii huwasaidia kufanikisha malengo yao katika utendaji wa kazi zao.hizo ni tactics.
 
Kama ambavyo wanatumia kwa baadhi ya magari DFP, na huko miaka ya nyuma TZD ilitumika sana.
 
Mfumo wa namba uliletwa na juhudi za kuondokana na mfumo kristo. Wakati wa Nyuma waislam walikuwa wanakamatwa sana kama wazururaji sasa namba zilisaidia waislam wasionewe aaaaaaaa jamani samahanini kumbe nimebofoa!!!!!
 
Wewe na ng'ombe tofauti yenu wewe unajua kuongea tu, more like a talking cow...
 
Back
Top Bottom