Retired Analyst
Senior Member
- Apr 7, 2025
- 138
- 244
Kwanini taasisi za elimu (shule za Primary na Secondary) zinajipa majukumu ya kidini?? Mbona taasisi za kidini (makanisa na misikiti) hazijipi majukumu ya kitaaluma (academia)
Watoto wanatoka majumbani mwao wakijua wao ni wamoja. Wanaongozana pamoja on their way to school.
Watoto wanafika shule na kukaa assembly point wakijua wao ni wamoja.
Watoto wanaenda mapumziko wakijua wao ni wamoja na kwa pamoja wanachangishana pesa na kununua chipsi dume (Mihogo)
Watoto wanacheza wote soccer, netboll na rede wakijua wote ni wamoja.
Watoto wanafagia uwanja wakiwa wote ni wamoja.
Alafu inafika saa sita mchana igongwa kengele ya kuwaambia kuwa licha ya kushirikiana katika yote kuanzia kitembea pamoja kuja shule na kula wote Mihogo mapumziko, nyie sio wamoja bali nyie ni waislamu na wakristo.
Guys, this is nonsense ujue.
Hivi ni kitu gani huwa kinafujdishwa katika hizo so-called vipindi vya dini katika taasisi za elimu ambavyo havitafundishwa ama havikufundishwa katika misikiti Ijumaa iliyopita au Jumapili ijayo.
Hii nchi ina Policy and dicisions makers wa hovyo sana.