Kwanini pesa za siasa chaguzi zinapatikana lakini mishahara ya watumishi haipatikani?

@K kwa estimation za sasa waliojiajiri kwenye kilimo ni 70% na wanaoishi vijijini ni asilimia 80%.Wewe unatakiwa kujiajiri kwenye processing kwakuwa wakulima wanauza raw products sasa unalia nini
 
@t Shule yangu ni ndogo lakini inaizidi ya kwako kwa stage moja zaidi na baada ya miaka mitatu itaizidi stage mbili zaidi.

Watumishi wanapolalamika kuwa mshahara umechelewa haina maana kuwa hawana fedha ya kula. Mshahara wa mtumishi ni haki yake ya msingi whether ana fedha nyingi au la.
 
Back
Top Bottom