Kwanini pesa za siasa chaguzi zinapatikana lakini mishahara ya watumishi haipatikani?

Wakwe2

Member
Sep 28, 2012
91
6
Kwanini pesa za siasa chaguzi zinapatikana lakini mishahara ya watumishi haipatikani?
 
Ni kwa sababu pesa za chaguzi zina dili, watu wanaoa na kujenga Mbezi Msakuzi, wakati mishahara huwezigusa hata ya mia ya mtu, labda awe marehemu!
 
Yah ni painful kuona watumish wa umma wanateswa na wanasiasa wachache. Mfano nasikia huko chuo kikuu cha dodoma hawajapata mshahara hadi leo na hawajui ni lini watapata. Kumbuka hawa ni academicians waliojitolea kusoma elimu za juu zaidi.
This might b a sign of failure of state.
 
Kwanini wana siasa kama wabunge na mawaziri wanalipwa mishahara na marupurupu manono kuliko watumishi wengine serikalini??????
 
Kwani mwezi wa september umeisha? leo si ni tarehe 32/09/2012. Jipe moyo mkuu nawe utashinda....... Poleni watumishi kwani hamtambui kama mfanyakazi na mtumishi ni watu watu wawili tofauti? and it can be traced back to colonial era.
Mtumishi = Servant
Mfanyakazi = Employee/worker
Public servant = Mtumishi wa umma.
Mtumishi lazima uwe mtiifu siku zote kwa master wako.
 
Yah ni painful kuona watumish wa umma wanateswa na wanasiasa wachache. Mfano nasikia huko chuo kikuu cha dodoma hawajapata mshahara hadi leo na hawajui ni lini watapata. Kumbuka hawa ni academicians waliojitolea kusoma elimu za juu zaidi.
This might b a sign of failure of state.

Sio UDOM pekee ni serikali yote hakuna aliyepata mshahara isipokuwa Halmashauri chache tu. Central govt na mashirika yake ikiwemo vyuo vikuu vyote hakuna kitu. Eti tatizo lipo Hazina, wapi! Udhaifu wa Dhaifu!
 
hii nchi tunatakiwa kuwa makini nayo maana mishahara kweli haijatoka na wala siajajua tatizo nini. hawajatoa sababu yoyote mpaka sasa wafanya kazi wanateseka kuna uwezekano hela zimeenda kwenye changu za ccm
 
Ni kwa sababu serikali iliyopo madarakani kipaumbele chake ni siasa sio utumishi wa umma. Watumishi wa umma hata kama mkitaka nyongeza ya mshahara hatuwapi, lakini mwanasiasa akikataa posho tunamlazimisha aichukue, tena akigoma tunampeleka mahakamani mpaka aichukue.
 
Watanzania tunafanya mambo ya aibu sana.Binafsi sina wasiwasi wowote kwamba fedha ambazo zilikuwa ziwalipe wafanyakazi mishahara yao ya mwezi wa tisa zimetumiwa katika chaguzi za CCM zinazoendelea.But why all this nonsense.Hivi kwanini hela ya serikali iende CCM.Na kwanini CCM ituchezee kiasi hiki.Haya mambo yanachefua sana.Wanachama wa CCM wasiozidi 3 million wachezee watu zaidi ya 38 million.No this is not acceptable.Tanzanians must work up,this is now too much.That is our money,hawawezi kufanya watakavyo.Mbaya zaidi they don't even talk about it,kimyaa,as if there is no problem.CCM must find it's own sources of revenue.
Kwanini pesa za siasa chaguzi zinapatikana lakini mishahara ya watumishi haipatikani?
 
Kweli ccm haitaki kura za wafanyakazi,mikutano yao dodoma imeenda vizuri lakini mishahara ya wafanyakazi ni upuuzi mtupun mpaka leo hola!!!!!!!!!!!wanategemea tunaishije hapa mjini msubiri adhabu yetu na sisi maana mnatudhalilisha bila sababu.kama serikali inashindwa kulipa mishahara kuna serikali hapo?????
 
@t Shule yangu ni ndogo lakini inaizidi ya kwako kwa stage moja zaidi na baada ya miaka mitatu itaizidi stage mbili zaidi.
 
Kama unaona demokrasia ni ghali basi jaribu udikteta, hata ukose mshahara mwaka mzima hufi njaa
 
At least Mtanzania 1 mmoja unauzito,ila ni vizuri kuspread risk pa1 nakufanya kazi kama mtumishi wa umma unaweza kujiajiri pia na ukaingiza kiasi kidogo cha fedha chakujikimu wakati kama huu.Mimi pia ni muajiriwa kama wewe lakini baada yakukumbwa na haya mambo ya serekali dhaifu niliamua kuweka investment ndogo na ndiyo inanisaidia hivi sasa wakati kwenye maeneo yangu ya kazi wametoa waraka wakuchelewa kwa mshahara.
 
Back
Top Bottom