Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
Hivi hawa Panya road wameshindikana? Imekosekana dawa ya kuwazuia makundi kama aya ya uhalifu? Ni hatari tukiendelea kuyaacha na kushabikia bila kuangalia kiini au chimbuko la panya road.
Nakumbuka zamani miaka ya 2006 nilikuwa nawasikia mbwa mwitu ila sasa panya road. Kwanini wasiwafuatilie na kujua chanzo cha hawa panya road wanaotupelekea kuwa na wasiwasi na kufunga maduka mapema?