Kwanini padri mpemba hakamatwi kama vile ilunga?

Status
Not open for further replies.
quote_icon.png
By adolay

1. Thibitisha kauli kali za askofu ni zipi................

2. Thibitisha kwamba alisema wachinje watu na si wajichinje wanyama na wale wenyewe

3. Thibitisha kwamba mtu akichinja kuku wake nyumbani na kumla mwenyewe nikinyume na katiba ya nchi

Maswali yote kulingana na hoja yako huna majibu, badala yake wewe ndiye mchochezi maana watanzania waislam

kwa wakristo wanafahamiana nakuishi pamoja kwa karne zote hapa Tanzania isipokuwa kunapokuwa na vichwa vibovu kama chako.

-Wengine wamelalama katika uzi wa mohamedi said kwamba Tanga waislamu wanaonewa na kudharirishwa na

serikali kwa kisingizio cha ugaidi. Lakini ni serikali hii hii imeuwa Arusha, Imeuwawa Daudi Mwangosi, ameteswa

Ulimboka
, ameteswa lwakatare nk Je hawa nao wanateswa kwa ukristo wao? Imekamata na kumtia ndani Ponda na

mtwara
wameteswa na kunyanyasika kwa kudai haki zao. serikali ni ilele je haya yote yanafanyika kwa mujibu wa

itikadi na dini za watu?

Ndugu acha uchochezi wa kiimani na kutaka kufarakanisha watanzania kwa ujinga wa mawazo mgando.
hili la Mpemba tayari lilikuwa lishatolewa ripoti na polisi kwamba anatafutwa kwa kusambaza dvd . hayo mengine hayana nafasi ya kuyajidili mimi
 
Mkuu mi Nikushauri utulie uwe msomaji tu Wa huu Uzi unavyoenda Kwasababu Naelewa utaweza kujibu hiki na kukitolea ufafanuzi na utauliza Swali na hautopata majibu sana sana atarukia kitu kingine kabla ya kujibu hoja yako! Lakini Kwa Mwenye hekima anaona na kuelewa kile unachoeleza!

Amani itawale nchi yetu Amina

Asante
 
hili la Mpemba tayari lilikuwa lishatolewa ripoti na polisi kwamba anatafutwa kwa kusambaza dvd . hayo mengine hayana nafasi ya kuyajidili mimi

kwa hiyo umefika kuulizia polisi shauri hili wamekuambiaje?
 
kwa mujibu wa sheria kila mtanzania anaruhusiwa kupeleka ripoti polisi na pia ikiwezekana kufunguwa mashitaka.

Umefikia hatua gani kuhusu swala hili? umepeleka malalamiko polisi na una RB au upo hatuagani?

Hil Ndo swala la msingi analopaswa kufanya Kulikoni kuja hapa jamvini!
 
siasa za chadema na ccm unazileta katika mambo ya msingi. hata lwakatare aliitwa gaidi lkn mahakama ilitengua. swali hapa kitu gani kilichozuia hadi askofu mpemba kuwa huru bila ya kufikishwa mahakamani[/QUOTE

Licha cha ya kuweka links zinazotukumbusha kuwa wawili hawa walikuwa wanatafutwa lakini hutakuwa hujatenda haki kuwaweka wote group moja.
Wakati Ilunga anatuhumiwa kuhamasisha watu kuuwa wengine kwa kisingizio cha dini Mpemba yeye aliwaeleza wakristo wenzie kuwa kuchinja mifugo yao kwaajili ya kitoweo either nyumbani kwao au kwenye butcha ni ruhusa. Hawahitaji kuwaalika waislamu kufanya kazi hiyo. Je hizi si kesi 2 tofauti? Sasa je unadhani kesi hizi zitaendeshwa kwa pamoja? Kama ndivyo kuna haja ya kulalamika kuwa mbona huyu kakamatwa na yule bado? Au tumeathiriwa na udini wetu kiasi kwamba hatutaki tena kufikiri kwa akili zetu wenyewe ila udini tu. Natamani ningekueleza dini yangu labda ungeelewa ujumbe wangu.
 
sasa kama ya serekali wakiristo mnatetea nini?

Tunapinga hoja ambazo haziko sahihi Kwa wakristo!

Na km Unaweza ukajenga hoja zako na ata wachangiaji wakaweza kuchangia bila kuutaja ukristo kwa namna yeyote ile basi tutakaa kimya! Km Unaweza kufanya hivyo ruksa!
Ila tusione Wagalatia, makafiri etc!
 
matusi ya nini?acha kwa kufikiria mafuabadala akili. huu sio majadala wa zitto na chadema. Nadhani si vizuri polisi kumuacha mpemba akitamba mitaani wakati hapo mwanzo wakimtafuta.

Huyo Mpemba umemuona wapi? Kama umemuona katoe taarifa Polisi.
 
uliwahi soma kitabu kinachoitwa satanic verses? ndo utagundua ukweli kuhusu wislamu
Mbona mnaumia sana juu ya uislam na waislam? Mnajua nchi za magharibi watu wameukubali uislam kwa kutaka kujua kwanini uislam umapigwa vita? Walipousoma wakaona kila kilichomo kwenye uislam ni ukweli na ndio maisha tunayotakiwa kuishi. Hebu msome dkt. Laurence Brown, tumia akili yako mwenyeo sio unaishi kwa akili ya papri au mchungaji wako....wake-up
 
Tunapinga hoja ambazo haziko sahihi Kwa wakristo!

Na km Unaweza ukajenga hoja zako na ata wachangiaji wakaweza kuchangia bila kuutaja ukristo kwa namna yeyote ile basi tutakaa kimya! Km Unaweza kufanya hivyo ruksa!
Ila tusione Wagalatia, makafiri etc!
kumbe muna umoja kutetea uhalifu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom