Kwanini NSSF wanahitaji 'Bank Statement' ya Mwanachama?

Hahaaaa hawatoi yote now day wanatoa 30% tu
Kuna mtu aliniambia 30% ya mshahara wako uliokua unalipwa mara mwisho wanakulipa kila mwezi kwa muda wa miezi sita tu,
Ni kweli?
 
Kwa hilo swali nimekuona ni mjinga sana, kungekuwa na namna hapa jf watu wajinga kuwa deleted wewe ungekuwa wa kwanza.
Ni sawa na kuambiwa ili uende chuo kikuu ni lazima uwe na kuanzia Div II, alafu wewe uje uulize je ukiwa na Div I
Na vipi kama ina hela nyingi zaidi ya Milion?
 
Watu wengi ni wajinga mliopitiliza, sijui kwa nini. Na cha ajabu unaweza kabisa kujuta umemaliza degree
 
Kuna mdau anasema mshahara lazima ulipwe benki.ninavyofahamu mshahara si lazima ulipwe kwenye akaunti,unaweza kulipwa mkononi ila uwekwe kwenye bahasha.
Kwa watu wa namna hii nssf zao zinalipwaje?au ndo itawalazimu kufungua akaunti?
 
NI UJINGA NA UBABAISHAJI KABISA MAANA INFO ZANGU ZOTE WANAZO

LABDA WANGEOMBA KOPI YA KADI YA BANKI NINGEWAELEWA
 
Sio kweli.
 
mfumo sasa unahitaji account iwe active,sasa wale wenye kuandika account dormant miamala hurudishwa tena NSSF.
pili kwenye account wanahitaji kulinganisha majina.kuna watu wana majina tofauti kwenye kitambulisho cha taifa na kitambulisho cha NSSF na majina ya bank.hivyo miamala yao kutopita bank.ni kwa nia njema tu waliyonayo usiogope kupeleka statement ya bank.
 
Nia ovu kabisa...mafao hayahusiani na mkopo benki! Hukusaini kulipa deni kwa njia ya mafao, wala mafao hukusaini yatakuja kulipa madeni ya benki, hizitaasisi ovyo hizi!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Kuna mtu aliniambia 30% ya mshahara wako uliokua unalipwa mara mwisho wanakulipa kila mwezi kwa muda wa miezi sita tu,
Ni kweli?

Hili swala la fao la kukosa ajira linachanganya sana, nina jamaa yangu ambae ajira yake iliisha akaanza kufatilia hela yake nssf ilimchukua miezi nane ya nenda rudi mwisho wa siku alilipwa hela yake yote na kafaida kidogo kama 2% ya fao lake. Ila kuna wengine wanalipwa hiyo 33% kwa miezi sita.
 
Waajiriwa wote lazima mishahara ipitie bank. Ukiona mtu anapewa mshahara mkononi ujue huyo ni kibarua tu au deiwaka. Hata hao vibarua kama watakaa kwa muda mrefu hairuhusiwi kuwalipa hela mkononi ni lazima walipwe hela benki.
Acha kuropoka vitu ambavyo huna ufahamnu navyo, mshahara wa mtu unaweza kutoka kwa Cash, Cheque, ama direct deposit bank, hilo lipo wazi kwenye sheria
 
mkuu nafikiri wewe ndio umeropoka.
Ukimlipa mtu pesa mkononi kama anavyolipwa house girl serikali/TRA watawezaje ku monitor malipo ya kodi na NSSF?
Acha kuropoka vitu ambavyo huna ufahamnu navyo, mshahara wa mtu unaweza kutoka kwa Cash, Cheque, ama direct deposit bank, hilo lipo wazi kwenye sheria
 
Uko sahihi aisee. Mambo hayako wazi kabisa. Utafkir biashara ya bange bhana.

Kuna wengine wanasema wakikuona kajihela chako cha mbuzi mfano laki 8 au kaji miloni na vijilaki kadhaa watakupa vijihela vyako usiwasumbue. Ila hutapata kwa urahisi kihiiivyoo lazima soli ya viatu iishe.

Ifike mahala haya mambo yawekwe wazi watu wajue kabisa.
 
Hapana sidhan Kama Kuna ukwel
 
Wanataka kuangalia Kama account yako bado inaoitishiwa mshahara... Kama bado unapikea mshahara hupati ... Hii Ni kwa wale wa fao la kujitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…