Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 544
- 665
Pesa zenu wamepeleka kwenye miradi ya kifisadi na ujenzi wa madaraja.Naandika kwa uchungu ,,
Kwasababu kujiunga n lazima kwene kuchukua kimbembe!!
Nilikua nataka niende kusoma lakini cha ajabu hawa watu hawatak kutoa hela wananiambia sijui kidogo kidogo ivi unaweza jisomesha kwa hela kidogo kidogo mbona Suala la Elimu halipewi kipau mbele???
Yaaan navozungushwa hadi Master yangu naikatia tamaa!
Nifanyeje hamna namna ya kuwashtaki mahakamani??
Pesa zenu wamepeleka kwenye miradi ya kifisadi na ujenzi wa madaraja.
Hawana pesa.
yaani unataka uache kazi mazima? ama utarudi kazini, fafanua.Naandika kwa uchungu kwasababu kujiunga ni lazima kwenye kuchukua kimbembe!
Nilikua nataka niende kusoma lakini cha ajabu hawa watu hawataki kutoa hela wananiambia sijui kidogo kidogo hivi unaweza jisomesha kwa hela kidogo kidogo mbona Suala la Elimu halipewi kipaumbele?
Yaani navozungushwa hadi Master yangu naikatia tamaa!
Nifanyeje hamna namna ya kuwashtaki mahakamani?
Ebwana pole sana ila naungana na mdau aliyeseama kama umeshawahi soma hata vigezo na masharti, kwa uelewa wangu na itawasaidia watu wengi kama wewe, ipo hivi nijuavyo mimi kwanza kabisa ikiwa mfanyakazi ameacha kazi kwa hiari yake yeye mwenyewe anakuwa hana sifa za kupata mafao yake hii ipo wazi. Kuhusiana na wewe sasa ambaye unataka kwenda kusoma halafu haujapata mafao yako, ninavyo fahamu ni kuwa kwenda kusoma sio emergency hivyo unakuwa hauna sifa ya kupata mafao yote, na we mzee una degree hivyo endapo umeachishwa kazi basi utalipwa 33.3% ya mshahara wako kwa Miezi sita, halafu nasikia kama utakaa miezi 18% haujapata kazi basi kwa hiari yako utaandika Barua kwa mkurugenzi mkuu wa hiyo NSSF kuomba kuhamisha michango yako kwenda uchangiaji wa hiari ili uendelee kujiwekea akiba, hapo vipi mwanangu takuwa nimewafungua vichwa.Naandika kwa uchungu kwasababu kujiunga ni lazima kwenye kuchukua kimbembe!
Nilikua nataka niende kusoma lakini cha ajabu hawa watu hawataki kutoa hela wananiambia sijui kidogo kidogo hivi unaweza jisomesha kwa hela kidogo kidogo mbona Suala la Elimu halipewi kipaumbele?
Yaani navozungushwa hadi Master yangu naikatia tamaa!
Nifanyeje hamna namna ya kuwashtaki mahakamani?
Wafanyakazi kujiunga NSSF sio suala la hiayari, ni lazima. Kusoma hizo terms hakuna maana yoyote, labda kama hutakiwi kuajiriwa.Je kabla ya kujiunga huko NSSF ulisoma terms zao? Kwamba ni vigezo gani vitakuruhusu uchukue hela yako yote na ni vipi vitakuzuia kufanya hivyo?
Mkuu kila ajira ina terms zake (mkataba) na moja wapo ni kuwa utakatwa kiasi kadhaa kwaajili ya social security.Wafanyakazi kujiunga NSSF sio suala la hiayari, ni lazima. Kusoma hizo terms hakuna maana yoyote, labda kama hutakiwi kuajiriwa.
Pole sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Mkuu kila ajira ina terms zake (mkataba) na moja wapo ni kuwa utakatwa kiasi kadhaa kwaajili ya social security.
Sasa kule kwenye social security ambae ni third party nae ana masharti yake ambayo kama ukiona hukubaliano nayo unaweza kukataa huo mkataba wa ajira ukafanya mambo mengine.
Wafanyakazi kujiunga NSSF sio suala la hiayari, ni lazima. Kusoma hizo terms hakuna maana yoyote, labda kama hutakiwi kuajiriwa.
Mkuu kama elimu yako ni ya Juu wanachofanya watakupa 30% ya pesa alafu yingine watakua wanakupa baada ya miezi 18,Da hao Jamaa ni hatari sana aise
Inawezekana mkuu. Kama unapewa deal ambalo terms zake unaona hazikufai kwanini usikatae.we unaweza kataa ajira kisa nssf?? do we have a choice??