Kwanini nitaipenda CCM katika maisha yangu - natangaza rasmi

Mpaka sasa wewe ndio umenielewa.....wengine wote naona ni wavamizi wa mada tuuuu...hongera kamanda...CDM hoyeee
Dah..leo nimepata jibu kuhusu asilimia kubwa ya WanaJF..(based on those contributed here)..HAWASOMI CONTENTS ZA POST..Kichwa cha habari kinawawehusha..Big up Mpambanaji,kama vile Shaban Robert ulivyochanganya lugha..werevu tu watang'amua
 
pole sana maana mtaanguka anguko baya na hiyo kijani yenu,huipendi ila umekosa mwelekeo kama wao pia umeishiwa hoja mkuu
 
CCM ni baba wa CDM, siku zote baba yuko makini kusaidia maisha ya watoto
Kama CCM ni baba na mama wa CDM ni nani? Majitu mengine bwana, yanafikiri usawa wa mapua yao kwa sababu ya uroho na ufisadi wao.
 
Jamani msameheni tu mleta hii post taarifa za kiintelijensia zinasema jana alilala chumba kimoja na LIVINGSTONE LUSINDE pale TIGER MOTER area C dodoma atakua alikunwa kisawasawa.
Hapana, mwenye tabia ya kulala na wanaume wenzake chumba kimoja na mh. Mwigulu Nchemba peke yake!
 
hahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani msameheni tu mleta hii post taarifa za kiintelijensia zinasema jana alilala chumba kimoja na LIVINGSTONE LUSINDE pale TIGER MOTER area C dodoma atakua alikunwa kisawasawa.
Hujamsoma kasema ataipenda baada ya KUFA, now PeopleZzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…