Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

Baba wa Taifa Alitaka viongozi wa tanzania wayaelewe haya

Malecela,William kumbuka haya maneno

1.NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO
2.CHEO NI DHAMANA SITATUMIA CHEO CHANGU WALA CHA MTU MWINGINE KWA FAIDA YANGU
3.NITAITUMIKIA NCHI YANGU NA WATU WAKE WOTE
4.NITASHIRIKIANA NA WENZANGU WOTE KUJENGA NCHI YANGU
 
Sijaona A level sehemu ulo somea!!
 
Hivi Wiliam, kweli unaona ukituandikia Ki english tutakuelewa zaidi ya kishwahili, kigogo au kinyakyusa ambazo ni lugha zako? Tatizo ni nini? Au ni maisha ya Amerika yamekuathili!? Be careful.
 
Okey KIBONGE Willy, sasa tueleze ahadi/malengo yako juu ya EAC, Utaifanyia nin Tz?
 
Hivi Wiliam, kweli unaona ukituandikia Ki english tutakuelewa zaidi ya kishwahili, kigogo au kinyakyusa ambazo ni lugha zako? Tatizo ni nini? Au ni maisha ya Amerika yamekuathili!? Be careful.

Maisha ya kula Burger na matomato sauces yamemdaka!
 
Hivi Wiliam, kweli unaona ukituandikia Ki english tutakuelewa zaidi ya kishwahili, kigogo au kinyakyusa ambazo ni lugha zako? Tatizo ni nini? Au ni maisha ya Amerika yamekuathili!? Be careful.

- Nah! maan just want you the people to be rest assured that, English which the language used in the EAC Assembly will never be an issue to us, we can speak it very well and write it too. I mean it is important that you know now that you are sending someone who can master the language well.

William.
 
Duh na hiki ni kigezo cha kwenda huko?
 
Still we wanna know,what is your agenda/case to the assembly?
 
Li CV zito ila mkuu ungetuwekea miaka uliyokuwa ukiyafanya hayo. Pia kule kwenye FB nimeona katika College umetaja UDSM ila hapa siioni!
 
Agwe William, naule ukuwandika cingeleza?
 
Hii ni aibu nyingine kwa EAC; kiswahili kinaongewa zaidi katika ukanda huu wa Afrika lakini cha ajabu si lugha rasmi ya EAC!
 
Neno KUMKOMA NYANI kama kihuni vile!
Hatutaki toz kuiwakilisha nchi yetu.
Tunataka watu wanaojiheshimu, wanaowaheshimu na kuwapenda watu wote, tunataka kiongozi wa vitendo siyo wa maneno mengi kama chiriku.
 
Kweli umezichezea kodi zetu huko USA sasa unataka na ututawale tena? Mshukuru sana baba yako wewe la baharia
 
Reactions: Mbu
W.J,
Nini agenda yako kuu kwenye harakati zako za kugombea ubunge EAC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…