Kwanini nikijamiiana nawahi kufika?

mtwana

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
428
140
Nilikua nina shida naomba nijibiwe kwa ufasaha kabisa kwa ambae hajui ni vizuri kukaa kimya ili na yeye afaidike....

Suala langu ni kwanini nikijamiana hua nawahi kufika?
La pili dawa gani ambazo zimetambulika kitaalamu ambazo zinazidisha nguvu za kiume?
La mwisho nitumie dawa gani ili niweze kumpa mwanamke Mimba
 
Una umri gani mkuu? Je umefanya Sperm analysis na kugundulika kuwa huwez kumpa mwanamke mimba?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom