Kwanini ni vigumu kupata mpenzi ukiwa single?

bafetimbi

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
1,085
1,735
Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY
 
Sasa utapataje wakati ushasema unakuwa single,ukipata means hauwi single tena mkuu!
 
Habari wataalam! ni sayansi gani inafanyika mpaka ukiwa hata na demu mmoja tu basi utavutia wengine hatakama ni first time mnaonana nao utawadaka fasta ila uwe singo sasa hata uwe hb vip hupat demu fasta hivyo WHY

Maandiko yanasema: ''Mwenye nacho ataongezewa''.

Akili kumkichwa.

-Kaveli-
 
nimewahi kuskia hicho kitu, hiv kinaukweli wowote? kuna kipind mpaka washkaj wakasema nna dawa mana ukimwangalia tu demu kaja tayari wakat nlipokua alone haikua hivyo
Ujue kile kitendo cha kudinyana kimsingi kinakuwa kama kinakuweka ktk hali ya kunukia flani hivi kwahiyo inakuwa kama chambo kwenye ndoano vile
nimewahi kuskia hicho kitu, hiv kinaukweli wowote? kuna kipind mpaka washkaj wakasema nna dawa mana ukimwangalia tu demu kaja tayari wakat nlipokua alone haikua hivyo
 
Ujue kumpata mwanamke unayemtaka kunahitaji muda kidogo na uvumilifu wa hapa na pale kutokana na maringo ya wanawake. Hivyo wakati mtu akiwa single huwa anakuwa na hamu ya hali ya maana huna pa kutolea hiyo hamu. Hivyo basi, unapomfuata mdada akakuzingua kidogo kukupima tu unakuta unamaindi unaachana nae na unampotezea. Ukitoka hapo unamfuata mwingine anakupa changamoto kidogo unamaindi tena . mwisho wa siku unajikuta umetongoza wadada wengi ila hakuna aliyekukubalia.

NOTE: UKAME HUPELEKEA MTU UWE NA HASIRA NA STRESS ZA KIJINGA AMBAZO ZINAPELEKEA UKOSE UVUMILIVU.
 
nimewahi kuskia hicho kitu, hiv kinaukweli wowote? kuna kipind mpaka washkaj wakasema nna dawa mana ukimwangalia tu demu kaja tayari wakat nlipokua alone haikua hivyo
nimewahi kuskia hicho kitu, hiv kinaukweli wowote? kuna kipind mpaka washkaj wakasema nna dawa mana ukimwangalia tu demu kaja tayari wakat nlipokua alone haikua hivyo
Chunguza utagundua wanaume wanaombatombato saaana huwa ni rahisi sana kumtongoza na kumpata mwanamke kuliko wale wagwadu saaaana
 
Hela, huna hela tuu, hata ukiwa na wake unafatwa kwasababu unaonekana unahudumia, so ukiwa singo we piga mbwembwe za kama umefurika hela uone km hujaondoka na kijiji
 
Love inakuwa prompted na kitu kinaitwa Pheromones ( aina fulani ya hormones). Hizi ndiyo huamsha upendo kwa jinsia nyingine.

Na mwili hutoa sana hiI hormones kama unangonoka mara kwa mara. Kama hungonoki hormones hizi hazitoki hivyo ukipishana na jinsia nyingine huamshi mzuka , unakuwa kama dada/Kaka yake.

With; ngonokeni sana ili kupata wapenzi wapya.
 
Back
Top Bottom