Kwanini ni serikali pekee inasonga katika TEHAMA na sio sekta binafsi?

Kwanini ni serikali pekee inasonga katika TEHAMA na sio sekta binafsi?

MbantuOG

Member
Joined
Mar 7, 2021
Posts
49
Reaction score
33
Japo sio kwa kiwango kikubwa lakini mifumo mingi nchi hii ya kitehama ni ya serikali na hufanya kazi nyingi kama ilivokusudiwa mifano kadhaa kama eTiketi, control number, malipo ya polisi na mengineyo yote umilikiwa na serikali, japo matatizo ya kimtandao huwa ya mara kwa mara lakini walau kuna tija unaiyona.

Unahisi kwanini sekta binafsi iko nyuma, na iko “manual” sana tofauti na serikali?
 
Simple ni gharama.

Affordance, sustentation and maintenance plus equipments operational costs.
Na kama unavyojua sekta binafsi inahitaji kupata faida ili iweze kufunction na kudevelop, lakini bila shaka tayari unajua ni jinsi gani hali ya uchumi ilivyo mbovu wakati huu nchini.

Well, wote tunajua ni jinsi gani serikali ipo vizuri kwenye kunyonya kodi katika viwango vya kustaajabisha, na especially ukizingatia kwenye huo unyonywaji kodi wa viwango visivyoelezeka sekta binafsi nao wanahusika.
So there's your answer.
 
Simple ni gharama.
Affordance, sustentation and maintenance plus equipment operational cost.

Well, wote tunajua ni jinsi gani serikali ipo vizuri kwenye kunyonya kodi katika viwango vya kustaajabisha, na especially ukizingatia kwenye huo unyonywaji wa viwango visivyoelezeka sekta binafsi nao wanahusika.
So there's your answer.
Mkuu hebu nipatie namba ya mwalimu wako wa lugha aliyekufundisha neno affordance na sustenation 😂😂😂 nina kikao nae.
 
Japo sio kwa kiwango cha kikubwa lakini mifumo mingi nchi hii ya kitehama ni ya serikali na hufanya kazi nyingi kama ilivokusudiwa mifano kadhaa kama eTiketi, control number, malipo ya polisi na mengineyo yote umilikiwa na serikali, japo matatizo ya kimtandao huwa ya mara kwa mara lakini walau kuna tija unaiyona.

Unahisi kwanini sekta binafsi iko nyuma, na iko “manual” sana tofauti na serikali?
Uelewa finyu. Hata hii mifumo ya serikalini nyingi ni Kwa sababu ya influence za ngozi nyeupe. Unadhani bila ufadhili wa USAID zahanati zingekuwa na computer na DHIS?

Sisi kufanya uwekezaji tupo slow mnooo, Kuna kampuni moja naifaham Ina turnover/ revenue over 10 billion, hata website haina.
 
Lakini kwa jinsi tulivyo unadhani soko kweli linahitaji tovuti?
 
Lakini kwa jinsi tulivyo unadhani soko kweli linahitaji tovuti?
Ndio tena kama biashara ndogo ambayo haijulikani website inakuletea wateja WA uhakika (kutoka Google) kuliko mtandao ya kijamii.
 
Lakini kwa jinsi tulivyo unadhani soko kweli linahitaji tovuti?
Ndio. Kwa Sasa hatutakiwi kuwa local only. Watu wa nje Wana search online info only to find Kenya based companies.

Mfano ingia google search for crops in Tanzania. Page maarufu itakayokuja ni selinawamucii (Wakenya).
Bongo hii Co-operative Unions (wauza mazao na produce nyingine) hazina website, Sasa mnunuzi wa mbali atajuaje kama Wana product?

Ndio maana madalali wanatupiga.
 
Ndio. Kwa Sasa hatutakiwi kuwa local only. Watu wa nje Wana search online info only to find Kenya based companies.
Mfano ingia google search for crops in Tanzania. Page maarufu itakayokuja ni selinawamucii (Wakenya).
Bongo hii Co-operative Unions (wauza mazao na produce nyingine) hazina website, Sasa mnunuzi wa mbali atajuaje kama Wana product?.
Ndio maana madalali wanatupiga.
Achana na wanunuzi wa mbali mkuu hata hapahapa nchini. Utapeli siku hizi ni mwingi hivyo mtu akiingia kwenye official website ya kampuni husika anapunguza urasimu.

Na mnaaminika kirahisi, kiukweli inaboa sana kusearch kitu muhimu kabisa halafu hukikuti popote.
 
Back
Top Bottom