Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,620
- 10,261
July 20 mwaka 1969 ndo Siku ya kwanza binadamu wa kwanza aliyeitwa Neil Armstrong aliweka nyazo zake mwezini, ni miaka 50 mpaka sasa.
Lakin mtu wa mwisho kwenda mwezin ilikuwa ni mwaka 1972, swali LA kujiuliza iliwezekanaje kipindi hicho ambacho technologies ilikuwa chini kuliko sasa lakin walifanikiwa kupeleka MTU mwezini.
NASA wanasema sababu ya kukaa mda mrefu bila ya kupeleka MTU mwezin imesababishwa na kuokuwa na utayari kisiasa (lack of political will). Kipindi kile kulikuwa na political will Kwa sababu ya uwepo wa vita barid (cold war).
Sababu ya pili ni gharama; kupeleka MTU mwezini ni kama dolls za kimarekani million 100, hii inajumuisha na gharama za kutengeneza chombo (hardware).
Sababu ya tatu ni focus, kipindi kile walienda mwezin na kuweka Bender's ya marekan na kurudi duniani, lakin NASA wanasema kipaumbele cha sahivi ni kikubwa zaidi ya kuweka Bendera mwezin, Bali ni pamoja na kufanya utafiti na uvumbuzi.
Happy anniversary of moon landing "lets do it again"