Kwanini ni muhimu kumpiga mkeo?



Timu Vibamia mnakuwaga washari sana, siku zote chuki tu dhidi ya Wanawake tu, utafikiri wao ndiyo waliowapa vibamia!

Nawapenda Wanawake wote na Mungu mbariki Mwanamke!
 
Hiyo namba 4 sijaielewa mkuu
Hii unamoa maneno katika hali ambyo anajisikia ht kulia yaani unamkalisha chini unaongea kwa hisia kali sana jinsi ambvyo unajisikia yeye akirudia kosa ambalo ulishamwambia sababu wanawake wana hisia sana basi zile hisia zako atazivaa yeye hapo ndo yaan anakuwa hawezi kabisa kufanya lile kosa tena sababu anahofia kukuumiza
 
Tunapozungumizia domestic violence kuna wanaume pia wanapigwa na wake zao, wanaume hawa wanateseka ndani kwa ndani kwani ni aibu kusema unapigwa na mwanamke.
Tulikuwa na jirani zetu wao kupigana ilikuwa mara tatu au nne kwa wiki.Wakianza kupigana mwanamke analia kwa sauti kubwa kuomba msaada.
Watu wakifika eneo la tukio wanakuta mwanamke analia kwa kwikwi na mwanaume anajitamba....'ningekuuwa mimi'......Lakini ukiwaangalia hutaona jeraha kwa mke ila manundu na damu za kutosha kwa mume.

Watoto ndio walikuja kutoboa siri kuwa Mama yao ndiye anayemshushia mdingi kipigo.Siku hizi wameshaacha kupigana maana mwanaume alihama pale home akabaki mke na watoto.
 
Kuna mmoja mwanamke alikua bondia kabisa, na kaka akaoa, basi ndani alikua anachezea kichapo kama kawaida. Akitoka kazini akae bar na wenzake, mke akija anamuita kwa kidole tu, anaacha bia na kuondoka. Lakini watoto walivyokua wakubwa walianza kumdharau mama yao, walimchukia kwasababu hamheshimu baba yao.
 
Ndio hivyo, famila zenye migogoro ya wazazi zinakuwa na athari kubwa sana kwa watoto wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…