Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 900 Reaction score 3,112 Aug 26, 2025 #1 Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke? Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke? Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,342 Reaction score 103,721 Aug 26, 2025 #2 Sio lazima mkuu.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,674 Reaction score 112,688 Aug 27, 2025 #3 Wenye magari wameshalala mkuu, na deni limekua kwa kasi hadi 116T hadi Mr Slow ameamua kutoka mafichoni atoe neno, ingawa naskia rc pia wana andaa waraka mzito wiki hii na kesho mama anajambo lake na presi...
Wenye magari wameshalala mkuu, na deni limekua kwa kasi hadi 116T hadi Mr Slow ameamua kutoka mafichoni atoe neno, ingawa naskia rc pia wana andaa waraka mzito wiki hii na kesho mama anajambo lake na presi...
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,232 Reaction score 138,618 Aug 27, 2025 #4 Desierto said: Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke? Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari? Click to expand... Unafikiri kila mtu ana mwili mdogo au yuko flexible kama wewe?
Desierto said: Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke? Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari? Click to expand... Unafikiri kila mtu ana mwili mdogo au yuko flexible kama wewe?
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,157 Reaction score 4,343 Aug 27, 2025 #5 Wenye magari wamestabirika
TheChoji JF-Expert Member Joined Apr 14, 2009 Posts 6,735 Reaction score 20,788 Aug 27, 2025 #6 Kwahiyo mkuu we unataka mtu aanze kunyanyua mamiguu juu avuke upande wa pili? πππ
HISTAMINE JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 650 Reaction score 1,573 Aug 27, 2025 #7 Kama yuko peke yake hapo kwenye siti ya abiria atakuwa anatafuta nini?
Y Yusufu R H Sabura JF-Expert Member Joined Jun 26, 2020 Posts 796 Reaction score 917 Aug 30, 2025 #8 aaah me najiulizaga sana hii, kimyakimya lakini