Kwanini ni lazima kupandia tu mlango wa dereva?

Kwanini ni lazima kupandia tu mlango wa dereva?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
847
Reaction score
2,954
Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke?

Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
 
Wenye magari wameshalala mkuu, na deni limekua kwa kasi hadi 116T hadi Mr Slow ameamua kutoka mafichoni atoe neno, ingawa naskia rc pia wana andaa waraka mzito wiki hii na kesho mama anajambo lake na presi...
 
Kwanini mtu hata akiwa upande wa abiria wa gari ili aende upande wa sterling ni lazima ashuke azunguke?

Kwani kuna ugumu gani kukatiza hapo kati ukatua upande wa kuendeshea gari?
Unafikiri kila mtu ana mwili mdogo au yuko flexible kama wewe?
 
Screenshot_20250827-135203_Chrome.jpg

Kwahiyo mkuu we unataka mtu aanze kunyanyua mamiguu juu avuke upande wa pili? 😀😀😀
 
Back
Top Bottom