Kwanini ni katazo kupiga picha baadhi ya majengo?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
Kuna baadhi ya Majengo mtu hurusiwi kupiga picha mbele yake sababu huwa ni nini?

Je, sababu za kiusalama zaidi au kuna sababu zingine?
 
Wanaogopa wakati unapiga picha unaweza kuibiwa kamera au simu yako,so hiyo ni kwa faida yako mkuu!.
 
Wanajua ni mwandishi wa habari unaenda kuandika ufisadi wa jengo hilo.
 
Wanaogopa wakati unapiga picha unaweza kuibiwa kamera au simu yako,so hiyo ni kwa faida yako mkuu!.
hahahaaa mkuu na mbna simu naishika kwa umakini sana?ila nimekubali kama nikwa faida ya usalama wangu no more qn
 
Nauliza hv ni Kwa nini wanakataza kupiga picture kwenye baadhi ya maeneo kama kwenye vivuko, majengo ya serikali n.k?
Wapiga picha wengi ni kwa ajili ya matumizi mabaya. Serikali yetu haitaki kufichuliwa mabaya ndio maana restrictions kama hizo zipo.
 
Watu wanapiga picha hadi White House Washington DC Tz wanajidai wanazuia eti sababu za usalama ukiwaliza uslama upi hata wao hawajui ni ujinga wa kurithishana
 
Back
Top Bottom