Wanatekeleza wajibu wao mkuu.....Sitaki kusema lolote Mkuu. Toa maoni yako kama unayo
Hapana Mkuu sijapendekeza lolote. Itakuwa vizuri na media zingine zikaiga pia kwa sababu taarifa kuhusu huko MKIRU ni muhimu kwa jamiiMedia house makini zote hufanya hivyo,ndio maana mashirika kama bbc, cnn nk wana maripota katika maeneo yote; vita, mafuriko, tsunami nk, labda kama unapendekeza Mwananchi lifungiwe!? Japo Haitakuwa busara kabisa, matukio ya MKIRU (Mkuranga, Kibiti na Rufiji yana public interest kubwa, umma unataka kuiona MKIRU tulivu, yenye amani kama zamani