Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,827
- 21,058
Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana?
Kuna mawili.
1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye kivuli ili waishi vizuri. Kama wakikosa kivuli basi watajipaka matope ili kijikinga na jua kali. Kama hamna matope wa hata kinyesi chao watajipaka kuepuka joto. Ni sulaa la survival. Nguruwe wakifugwa sehemu yenye kivuli kizuri cha miti huwa wanaonyesha usafi wao halisi. Utaona anajisaidia mbali kabisa na anapolala. Mwili wao ukiwa msafi bila matope wala kinyesi.
2. Nguruwe ni kama binadamu. Hata chakula chake ni kama binadamu. Nguruwe hana uwezo wa kula majani kama mbuzi au ng'ombe. Nguruwe wanafanana sana na binadamu. watu wanaokula watu, husema kuwa nyama ya binadamu inanoga kama ya nguruwe. Hata dawa kama Insulin au Pepsin huchukuliwa kutoka kwa nguruwe. Sasa basi chakula chake ni nafaka kama binadamu au makombo. Akikosa, atakula mizoga hata vinyesi. Hata binadamu wakizidiwa hula vinyesi vyao, mizoga, makombo na vitu vingine vichafu. So nguruwe huanza kula vichafu baada ya kukosa msosi wa maana.
Sasa. Wataalamu wanasema kuwa dini zilizoanzia mashariki ya kati(Uyahudi na Uislamu)zinakataza kula nguruwe kwa sababu hizi. Mashariki ya kati kuna joto kali huku hakuna miti ya vivuli. Muda wote nguruwe walikuwa wakijigaragaza kwenye matope na vinyesi. Wale nguruwe wa mijini walikuwa wakigombania chakula na binadamu. Wakaishia kula makombo na mizoga. Mambo haya yalionekana ni uchafu wa kupindukia. Matokeo yake wenye mamlaka wakapiga marufuku ulaji wa Nguruwe. Matokeo yake marufuku hizo zikaingia hadi kwenye dini.
My take.: Nyama ya binadamu inanoga kama ya nguruwe.
Ni Wachafu kwakuwa hata Wanaowala nao ni Wachafu vile vile hivyo ngoma ni Droo......!!!!Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana?
Kuna mawili.
1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye kivuli ili waishi vizuri. Kama wakikosa kivuli basi watajipaka matope ili kijikinga na jua kali. Kama hamna matope wa hata kinyesi chao watajipaka kuepuka joto. Ni sulaa la survival. Nguruwe wakifugwa sehemu yenye kivuli kizuri cha miti huwa wanaonyesha usafi wao halisi. Utaona anajisaidia mbali kabisa na anapolala. Mwili wao ukiwa msafi bila matope wala kinyesi.
2. Nguruwe ni kama binadamu. Hata chakula chake ni kama binadamu. Nguruwe hana uwezo wa kula majani kama mbuzi au ng'ombe. Nguruwe wanafanana sana na binadamu. watu wanaokula watu, husema kuwa nyama ya binadamu inanoga kama ya nguruwe. Hata dawa kama Insulin au Pepsin huchukuliwa kutoka kwa nguruwe. Sasa basi chakula chake ni nafaka kama binadamu au makombo. Akikosa, atakula mizoga hata vinyesi. Hata binadamu wakizidiwa hula vinyesi vyao, mizoga, makombo na vitu vingine vichafu. So nguruwe huanza kula vichafu baada ya kukosa msosi wa maana.
Sasa. Wataalamu wanasema kuwa dini zilizoanzia mashariki ya kati(Uyahudi na Uislamu)zinakataza kula nguruwe kwa sababu hizi. Mashariki ya kati kuna joto kali huku hakuna miti ya vivuli. Muda wote nguruwe walikuwa wakijigaragaza kwenye matope na vinyesi. Wale nguruwe wa mijini walikuwa wakigombania chakula na binadamu. Wakaishia kula makombo na mizoga. Mambo haya yalionekana ni uchafu wa kupindukia. Matokeo yake wenye mamlaka wakapiga marufuku ulaji wa Nguruwe. Matokeo yake marufuku hizo zikaingia hadi kwenye dini.
My take.: Nyama ya binadamu inanoga kama ya nguruwe.
NGURUWE PIA NI WABINAFSI hii niliiona kwenye "Shamba la wanyama"Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana?
Kuna mawili.
1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye kivuli ili waishi vizuri. Kama wakikosa kivuli basi watajipaka matope ili kijikinga na jua kali. Kama hamna matope wa hata kinyesi chao watajipaka kuepuka joto. Ni sulaa la survival. Nguruwe wakifugwa sehemu yenye kivuli kizuri cha miti huwa wanaonyesha usafi wao halisi. Utaona anajisaidia mbali kabisa na anapolala. Mwili wao ukiwa msafi bila matope wala kinyesi.
2. Nguruwe ni kama binadamu. Hata chakula chake ni kama binadamu. Nguruwe hana uwezo wa kula majani kama mbuzi au ng'ombe. Nguruwe wanafanana sana na binadamu. watu wanaokula watu, husema kuwa nyama ya binadamu inanoga kama ya nguruwe. Hata dawa kama Insulin au Pepsin huchukuliwa kutoka kwa nguruwe. Sasa basi chakula chake ni nafaka kama binadamu au makombo. Akikosa, atakula mizoga hata vinyesi. Hata binadamu wakizidiwa hula vinyesi vyao, mizoga, makombo na vitu vingine vichafu. So nguruwe huanza kula vichafu baada ya kukosa msosi wa maana.
Sasa. Wataalamu wanasema kuwa dini zilizoanzia mashariki ya kati(Uyahudi na Uislamu)zinakataza kula nguruwe kwa sababu hizi. Mashariki ya kati kuna joto kali huku hakuna miti ya vivuli. Muda wote nguruwe walikuwa wakijigaragaza kwenye matope na vinyesi. Wale nguruwe wa mijini walikuwa wakigombania chakula na binadamu. Wakaishia kula makombo na mizoga. Mambo haya yalionekana ni uchafu wa kupindukia. Matokeo yake wenye mamlaka wakapiga marufuku ulaji wa Nguruwe. Matokeo yake marufuku hizo zikaingia hadi kwenye dini.
My take.: Nyama ya binadamu inanoga kama ya nguruwe.
Mkuu umewahi kula kunguru?Ata kunguru ni wachafu. Ila ni watamu
Mkuu umewahi kula kunguru?
Pig kitu kingine [emoji39][emoji39][emoji39]Hakuna aliewahi kupigana vita na huyu kiumbe akashinda. Tulimtafuna, tunamtafuna, na tutaendelea kumtafuna!
Hivi mnajua balaa la kitimoto rosti nyie? Upate na tubia hata tuwili tu twa kusindikizia, Aroo!
Huyo mdudu ni hatari [emoji39][emoji39][emoji39]Yaani ni wewe tu mwenyewe kuchagua kwa ndizi roast au ugali....!
View attachment 2306371View attachment 2306373
Waeleze haoPondeni TU ila ikifika mahara kilo ya uchafu iuzwe 12K+ . Mje kutuambia hakika dampo zote zitakuwa nyeupe.
#[emoji200]
View attachment 2306564
[emoji23][emoji23][emoji23]Unazungumzia nguruwe, hakuna mtu anakula nguruwe mimi binafsi nakula kitimoto