Makatazo hayo ni kwa ajili ya kuleta Amani duniani,hebu fikiria umemuona msichana mrembo mkawa wapenzi ,akatokea jamaa akawa anamzengea ...... and so on, utajisikiaje ?
Ndoa ilianzaje? Aliianzisha nani? Mbona jamii karibia zote duniani zina huu utaratibu? Je waliigana kwenye suala la ndoa au walijikuta wanapractice ndoa kila mmoja kwa wakati wake?