screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Ney ni msanii aliyejinyakulia umaarufu kwa kumchana yeyote anayezingua but sijawahi kuona akiwachana watu hawa pamoja na kulalamikiwa sana na wasanii wenzake.
Kama kweli ye kidume awachane hawa watu wa kuitwa 'Clouds FM' tuone Kama career yake haijaishia hapo hapo. Sio kila siku kuonea 'vidagaa tu', watu wa bongomuvi na wana Bongofleva wenzake.
Fanya Kama alivyofanya Sugu kwenye Antivirus halafu tuone kama utaendelea kuuza sura mjini hapa.