Kwanini Ndugai anaongea uongo? Kauli ya Prof Assad ni "bunge lina udhaifu sio Bunge Dhaifu" shida iko wapi? Wao malaika?

Anachofanya ni kujaribu kutuaminisha kua wao wako perfect for 100%. Sasa nawaza ni bunge hili hili la kina Lusinde ndo liwe perfect kwa hata 50% kweli??
 
Mtarudia sana nyuzi,huu mkote hauhitaji papara mlizonazo,upo kiustadi zaidi
 
Tatizo ndungai haelewi katiba
 
Utajua udhaidu wake kamili muda si mrefu na ndio tutahitimisha haya mabishano

Hana ubavu wa kumfanya lolote kisheria wala kihoja, labda itumike ile mbinu ya kishamba ya Tundu Lissu. Na mbinu zozote za mabavu hazitaondoa huo udhaifu uliopo.
 
Kinachonifuraisha nikuwa prof. yeye katulia tulii na dua zake huku watu wako wanaangaika, mara uende kwa rais uombe msamaha oooh! mara report tunaipokea ila yeye hatumtaki ya nin kuangaika !si waseme tu kuwa cag unaminya upigaji.
Kiukweli napongeza kazi nzuri ya cag,tatizo linalonikera ni nyuzi zenye maudhui yanayofanana ila zinabadilishiwa heading, ni ufala huo,watu walewale wenye Id zisizopungua tano,wanamdanganya nani?
 
Unamuongelea Ndugaye yupi huyo?
In God we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…