Sasa nimeielewa kauli ya CAG mstaafu alhaj Assad kuhusu mapungufu ya bunge letu litakalovunjwa tarehe 28/05/2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,599
141,415
Kama nakumbuka vizuri CAG mstaafu alidai kuwa bunge ni dhaifu......hakusema Spika ni dhaifu hapana alisema " bunge ni dhaifu"

Wakati bunge linafikia ukingoni ndio nakubaliana na kauli ya Prof Assad kwamba bunge lina hili linalomaliza muda wake lina mapungufu makubwa sana.
October sitajihangaisha kumpigia kura mbunge yoyote nitachagua Rais na diwani fullstop.

Maendeleo hayana vyama!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom