Kwanini ndoa nyingi uharibika?

Alikada

Senior Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
126
Reaction score
15
inasikitisha baba na mama pale ndoa. yenu tayali inaumli zaidi ya miaka. 20 eti inavunjika. nini tatizo. ushauli wa dau..
 
Miaka ishirini ina maana wamevumiliana mengi, sidhani kama kuna kuvunjika hapo labda kwa muda, kwa kweli kama itafikia kuvunjika ndoa zaidi ya miaka ishirini naweza sema ni aghalabu na italeta picha mbaya sana kwa watoto wenu
 
inasikitisha baba na mama pale ndoa. yenu tayali inaumli zaidi ya miaka. 20 eti inavunjika. nini tatizo. ushauli wa dau..

mada yako ilikuwa nzuri lakini uandishi wako unahamisha wadau kwenye mada mkuu. Shuleni kwenu mlijifunza vituo tu katika alama zote za uandishi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…