Kwanini ndiyo,wakati hataki?

Kwanini ndiyo,wakati hataki?

There is some one, some where for you, sio kila utakaempenda wewe akupende the same, akili yako changanya na za kuzaliwa then amua
 
kuna kitu unakosea halafu unarudia rudia hiko hiko
 
Wew ni mzigo usiobebeka...hata akikukubali utakuwa na msaada gani ilhali unalia lia tuu! Wanawake wanalia inawauma xana...na wew kidume unalia...eti inakuuma xana. DEMU ANAKUPOTEZEA COZ ANAONA WEW SIYO TYPE YAKE. Umri wenyew mnalingana....Demu wako anamtaka mutu siha na haiba ya kiume. Anayeweza kuunguruma tu, na shida zikakimbia na kumuacha she akichekelea. UYO SIYO SAIZI YAKO ndio maana anakufunika.

Nimekupata man,kweli lkn matuc sio issue.
 
There is some one, some where for you, sio kila utakaempenda wewe akupende the same, akili yako changanya na za kuzaliwa then amua

That's true,It'll better nikimpotezea.
 
Nimekupata man,kweli lkn matuc sio issue.

Ucjali man! Wakati mwingine munkari unapanda..hata tunafikiri tupo class kufundisha wanetu...du, kumbe hapa nasema na mkubwa mwenzangu. SAMEHE BWANA, PALE NIMEKUUDHI. Lakini kwa kuwa umekiri ni kweli....basi rekebisha iyo hali...irejee heshima ya kiumeni...tusonge mbele. PEACE & LUV!
 
@Waziir hamad
Unaogopa kuwa rejected au? kubaliana na hali halisi, huyo alisha kutema cku nyingi mno!
 
Last edited by a moderator:
Umeamua kunisema mpk huku jmn? Em nivumilie niko nakuchunguza jmn uwiii

Mmmmh! Iz it tuluuu????????
Isije kuwa unaleta mzaha wakati mtu yuko serious. FIKIRI KAMA INGETOKEA UPANDE WAKO....Ungejickiaje mtu akikujejeli???
 
Back
Top Bottom