Kwanini ndiyo,wakati hataki?

Kwanini ndiyo,wakati hataki?

Kijana naona huyawezi mapenzi wewe na utaishia kuumia tu...

Mwanaume unapaswa ujue kuwa unapendwa au lah kabla ya kustrike...

Na once ukijua unajipendekeza tu basi unajitoa mapema na si kung'ang'ania kama ufunguo kwa kitasa...

Nimekuelewa mkuu.
 
Tatizo la eksipiriensi na umri kuwa mdogo.
Hao viumbe siyo wa kuendekeza sana.
 
Kama kusoma haujui hata picha hauioni?Hakuna mapenzi ya upande mmoja chapa lapa,omba MUNGU utapata mwingine

Eti "ooh,unacheka nin sasa"!! Haa!!! Hata kama ananisismuaje atapigwa bonge la sztaki mbich hiz
 
Poleni na majukumu ndugu,I hope you're all fine.

Kuna kitu kinanisumbua kiakili wakati mwingine inaniingia automaticaly nabaki kujiuliza "why I'm falling in love with a girl who can't fall in with me?" inaniuma kiukweli.

Mara ya mwisho tuliwasiliana akiwa ana apply college cha uwalimu na kucompromise kwamba tutakuwa tukiwasiliana till nikipata nafasi ya kumfuata chuo.

Lakini cha ajabu namba zake zote hazikupatikana tena mpaka nikakata tamaa na kujaribu kuulizia kama alibadili line,juzi kati ya januwari nikapata namba yake na kumpigia akawa amenambia alipotelewa na simu that's why hapatikani.

Lakini anaongea kama hataki mwenzake naongea kwa bashasha na kujaribu kumweka sawa lakini still ana maswali ya ajabu,ooh unacheka nn sasa? n.k,sometimes ananikatia simu without reason.

Now I think she is'nt girl for me,maybe she date other guyz and tell me lies,now I'm about to reject her,nishaurini wakuu inaniuma sana coz nampenda kiukweli.kwanini hakunikatalia kuliko kunitesa.why wasichana wanakuwa hivi.

Wew ni mzigo usiobebeka...hata akikukubali utakuwa na msaada gani ilhali unalia lia tuu! Wanawake wanalia inawauma xana...na wew kidume unalia...eti inakuuma xana. DEMU ANAKUPOTEZEA COZ ANAONA WEW SIYO TYPE YAKE. Umri wenyew mnalingana....Demu wako anamtaka mutu siha na haiba ya kiume. Anayeweza kuunguruma tu, na shida zikakimbia na kumuacha she akichekelea. UYO SIYO SAIZI YAKO ndio maana anakufunika.
 
Duuh, pole sana mkuu. Kukataliwa kubaya lazima uweweseke. Hata hivyo jipe moyo kuna "sehemu" yupo mtu Maalum kwa ajili yako. MUHIMU ni kuitambua sehemu hiyo.
 
Back
Top Bottom