Umeuliza swali zuri sana, mimi sio mtaalamu wa mambo ya ndege ila kwa uelewa tuu wa kawaida, dereva wa lori akijisikia vibaya atakachofanya ni kupaki pembeni kuwasha hazard, halafu atapata msaada tuu kwa namna moja au nyingine. Sasa mfano huu tukiupeleka kwenye ndege kwa kweli rubani angekua mmoja halafu akapata tatizo ina maana haina ndo kwaheri. Natumai nimejibu hoja moja kati ya nyingi ulizouliza.Nimekuwa nikifuatilia ndege za abiria utakuta zinaendeshwa na marubani 2 .ni kwann ? Je dereva mmoja akifa njiani yaani angani je mmoja awezi ongoza ndege? Na kwann usikani wa ndege ni wavipande sio wa mzunguko kama wa gari?
Kuna swali katika sentensi ya mwanzo, na alama ya kuuliza ipo kabisa.Hilo sio swali ila umemjibu
Ni maswali matatu au manne yameulizwa apo,Kuna swali katika sentensi ya mwanzo, na alama ya kuuliza ipo kabisa.
Kwahiyo bajaji ni chombo cha baridi sio?....bado hoja yako ya usukani wa ndege na chombo cha moto chenye tairi moja mbele haina mashiko...Mara nyingi chombo cha moto chenye tairi moja mbele huwa hawaweki uskani wa raudi kwaajili ya Balance
Assume rubani ameshikwa na tumbo la kuhara alafu yupo mwenyewe,
pia huwa kuna vitu wanasaidiana mwingine anaangalia mbele kwa kutumia darubini kujua nini kinafata.
1. Usalama. Ikimaanisha pilot flying and pilot monitoring.Nimekuwa nikifuatilia ndege za abiria utakuta zinaendeshwa na marubani 2 .ni kwann ? Je dereva mmoja akifa njiani yaani angani je mmoja awezi ongoza ndege? Na kwann usikani wa ndege ni wavipande sio wa mzunguko kama wa gari?
Asante sana1. Usalama. Ikimaanisha pilot flying and pilot monitoring.
2. Usaidizi. Huwa wanapokezana haswa kwa safari za mbali masaa mengi.
3. Kuna vitu vingi vya kufanya wakati wa kuendesha ndege. Pilot flying yeye ana deal na kuongoza ndege. Pilot mwenzake anafanya mawasiliano na ATC. NA kunyanyua ama KUSHUSHA miguu ama gurudumu za ngege.
4. Ndege haina usukani. Unachokisemea kinaitwa control wheel ama York ama joy stick ambacho kazi yake ni kuendesha vifaa vilivo nje ya ngege kuweza kuruka juu ama chini. Pitch up pitch down. Kulaza upande kushoto ama kulia. Maneuvering!
Dah. Ni mengi mno wino unaisha.
Bajaji steering-wheel yake ni ya round? Au unaota mkuuKwahiyo bajaji ni chombo cha baridi sio?....bado hoja yako ya usukani wa ndege na chombo cha moto chenye tairi moja mbele haina mashiko...
Kwanza atambue maana ya steering!!!!!!!Bajaji steering yake ni wa round? Au unaota mkuu
Nimemjibu kwa kuangalia tuu wala sio mtaalamu wa hayo mambo Ila si unajua mtanzania mpaka aambiwe na mzungu ndio anaaminiKwanza atambue maana ya steering!!!!!!!