Nyakitagara
Member
- Feb 7, 2019
- 57
- 91
Mji wa Musoma ndio njia rahisi ya kufika mbunga ya Serengeti. Sasa sijui nani mwenye mamlaka ya kufanya kazi ili hiki kiwanja cha ndege kifanye kazi katika hali nzuri. Itasaidia kuvutia uwekezaji na kurahisha usafiri wa kwenda Musoma kwa Ndege
Ukitaka kufika Musoma inakubidi upande ndege mpaka Mwanza ndiyo usafiri tena na basi kufika Musoma.
Hapo mwanzo ndege zilifikia sasa sijui tatizo ni nini?
Tusaidiane tuweze kujenga Uchumi wa Nchi hii.
Ukitaka kufika Musoma inakubidi upande ndege mpaka Mwanza ndiyo usafiri tena na basi kufika Musoma.
Hapo mwanzo ndege zilifikia sasa sijui tatizo ni nini?
Tusaidiane tuweze kujenga Uchumi wa Nchi hii.
Bado nipo na ninaendelea kujifunza tabia na mienendo ya mwanadamu. 