Kwanini nchi za kiislamu na viongozi wenye imani hiyo huwa wanaandamwa sana?

Basham

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
743
433
Habari Wana Jukwaa,

Huwa Napata wakati mgumu sana kuelewa ni kwa nn viongozi wenye imani ya kiislam na nchi zenye iman hii wanaaandamwa sana kila kona ya dunia

Wanakosea wapi kama wanakosea wafanye nini ili kupunguza matatizo wanayoyakuta

Haijakaa kidini ila ni ya kidemocracy zaidi
 
Wanaandamwa sana kivipi? Na nani? Hebu toa mifano ueleweke. Nijuavyo mimi nchi na hata jamii zisizokuwa za imani hiyo huandamwa sana na magaidi mara nyingi wakitokea nchi za imani hiyo au wakifadhiliwa na viongozi wa nchi hizo.
 
Mkuu... ni mtazamo tu na sidhani kama kuna watu wapo mahala flan wanamkakati maalum wa kuwaua eti waislam....sidhan, na fikra kama hizi siyo nzuri maana zina mwelekeo wa kutojiamini....maana kama mtu hajiamini ni tatizo sana...yan suala la mtazamo pia si zuri kwani kama mtu akiamini anaonewa hata ukimfanyia nini atahisi tu ulitakiwa umfanyie zaidi.....ni kama ndugu wa baba mmoja ila kunamwingine pale siyo kwao.......na umri unalingana halaf mama mwenyenyumba kila atakachomfanyia anajihisi sababu yeye si mtoto wa pale.........akinunuliwa viatu halaf vimbane utasikia unaona?, akinunuliwa nguo ya rangi tofauti na wenzake hatakama zote ni mpya utasikia unaona?....yan hata umfanyie nini haishi kulalamika......

Sawa sawa na ndugu zetu waislam.....tuwafundishe watoto kuwa wawajibikaji badala ya kuwajaza chuki kama hizo hapo juu eti mtoto anakuwa anajua kuwa waislam wanaandamwa duniani na wanachukiwa....hiv wanachukuwaje?..

Tunamfahamu Sadam Hussein aliyekuwa rais wa marekani.....alipigana na marekani sababu ya mafuta na ndiyo maana hata viongozi waliopo Iraq kwa sasa bado ni waislam.....nenda lybia pia ni mambo ya kiuchumi zaidi na wakitoa uongozi waaweka muislam mwingine na hawafanyi vinginevyo.....misri nako hali kadhalika

ninachokiona hapa ni kwamba viongozi wengi wa nchi za kiislam hawajitambui......wanapenda udikteta na hawaelewi vizuri mambo ya uongozi kiasi kwamba inawapa adui zao kuweza kuwashinda kirahisi

Hii namaanisha wanapenda sana mabavu na kutawala badala ya kuongoza,......Gadafi ilikuwa afie madarakani kama asingetolewa, na utawala wake nenda watu wakakusimulie jinsi ulivyokuwa......achilia mbali hzi story za nchi kuwa vizur kiuchumi, Saddam nae alikuwa vilevile....anapenda kutawala na wala asingeachia madaraka kama asingetolewa.....kaulize pia ukatili kwa wananchi ulivyokuwepo pindi anatawala....... sitaki kuzungumzia Syria na Misri ambapo watu walikaa madarakani miaka nenda miaka rudi.....

Kifupi binadam wana tendency ya kutaka mabadiliko....na sijui ni nini hasa ila ndivyo mwenyezi Mungu alivyotuumba(Ninaamini hivyo) kwani hata wewe na mimi hatuwezi kula ugali asubuhi, mchana na jion na mboga zilezile wiki nzima na mwezimzima na mwaka mzima.....haitawezekana

vile vile hata kiongozi akiwa mzuri kiasi gani watu hufikia kipindi wakamchoka.....na ndipo hapo ikifikia inakuwa raihisi kwa rais yeyote kuondolewa madarakani......wamarekani walishatakaga kumuondoa madarakani Gadaffi mwaka 1967 kama sikosei ila walishindwa sababu wananchi wote bado walikuwa wanampenda..............

Ila waliposubiri akapata maadui wa ndani(waislam wenzake) ndipo walipomtoa na kufanya wanavyotaka mwaka 2011......vilevile Saddam, vilevile Husen Mubarak.....taja wengine.......sasa inabidi hawa viongozi wa nchi za kiislam wawe wanajua jinsi ya kusoma alama za nyakati na si kuwa wabishi tu......we angalia Sylia jinsi ilivyo magofu na mtu mpaka leo kang'ang'ania madarakani.......

hawa huwa wanajiondoa madarakani wenyewe kwa kukosa ufahamu wa kuelewa game la ki uongozi.....hata hapa tz nyerere angekomaaa angekiona cha mtema kuni maana sikuzote marekani hana marafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu
 
huwa hawali rushwa, hata riba hawapokei pia wengi huwa hawana tamaa za dunia, wanajua siku ya kifo chao watazikwa na shuka moja tu nyeupe!!

Dunia ya leo kama hupokei riba na rushwa lazima waasisi wa rushwa na riba wakumalize!!
 
Eti siyo mafisadi? kaangalie jinsi kikwete alivyoiacha nchi, mbona huko Zanzibar wamedhulumiana wao kwa wao kama kweli wao watenda haki? kamuulize maalim juu ya jecha na shein? si ndo ufisadi huo au?
 
huwa hawalirushwa!
Atariba hawapokei pia wengi huwa hawana tamaa za dunia wanajuwa siku ya kifo chao watazikwa na shuka moja tu nyeupe!! dunia ya leo kama hupokei riba na rushwa lazima wa asisi wa rushwa na riba wakumalize!!

Asante sana mkuu nmekuelewa sanaa..
 
Mkuu... ni mtazamo tu na sidhani kama kuna watu wapo mahala flan wanamkakati maalum wa kuwaua eti waislam....sidhan, na fikra kama hizi siyo nzuri maana zina mwelekeo wa kutojiamini....maana kama mtu hajiamini ni tatizo sana...yan suala la mtazamo pia si zuri kwani kama mtu akiamini anaonewa hata ukimfanyia nini atahisi tu ulitakiwa umfanyie zaidi.....ni kama ndugu wa baba mmoja ila kunamwingine pale siyo kwao.......na umri unalingana halaf mama mwenyenyumba kila atakachomfanyia anajihisi sababu yeye si mtoto wa pale.........akinunuliwa viatu halaf vimbane utasikia unaona?, akinunuliwa nguo ya rangi tofauti na wenzake hatakama zote ni mpya utasikia unaona?....yan hata umfanyie nini haishi kulalamika......

Sawa sawa na ndugu zetu waislam.....tuwafundishe watoto kuwa wawajibikaji badala ya kuwajaza chuki kama hizo hapo juu eti mtoto anakuwa anajua kuwa waislam wanaandamwa duniani na wanachukiwa....hiv wanachukuwaje?..

Tunamfahamu Sadam Hussein aliyekuwa rais wa marekani.....alipigana na marekani sababu ya mafuta na ndiyo maana hata viongozi waliopo Iraq kwa sasa bado ni waislam.....nenda lybia pia ni mambo ya kiuchumi zaidi na wakitoa uongozi waaweka muislam mwingine na hawafanyi vinginevyo.....misri nako hali kadhalika

ninachokiona hapa ni kwamba viongozi wengi wa nchi za kiislam hawajitambui......wanapenda udikteta na hawaelewi vizuri mambo ya uongozi kiasi kwamba inawapa adui zao kuweza kuwashinda kirahisi

Hii namaanisha wanapenda sana mabavu na kutawala badala ya kuongoza,......Gadafi ilikuwa afie madarakani kama asingetolewa, na utawala wake nenda watu wakakusimulie jinsi ulivyokuwa......achilia mbali hzi story za nchi kuwa vizur kiuchumi, Saddam nae alikuwa vilevile....anapenda kutawala na wala asingeachia madaraka kama asingetolewa.....kaulize pia ukatili kwa wananchi ulivyokuwepo pindi anatawala....... sitaki kuzungumzia Syria na Misri ambapo watu walikaa madarakani miaka nenda miaka rudi.....

Kifupi binadam wana tendency ya kutaka mabadiliko....na sijui ni nini hasa ila ndivyo mwenyezi Mungu alivyotuumba(Ninaamini hivyo) kwani hata wewe na mimi hatuwezi kula ugali asubuhi, mchana na jion na mboga zilezile wiki nzima na mwezimzima na mwaka mzima.....haitawezekana

vile vile hata kiongozi akiwa mzuri kiasi gani watu hufikia kipindi wakamchoka.....na ndipo hapo ikifikia inakuwa raihisi kwa rais yeyote kuondolewa madarakani......wamarekani walishatakaga kumuondoa madarakani Gadaffi mwaka 1967 kama sikosei ila walishindwa sababu wananchi wote bado walikuwa wanampenda..............

Ila waliposubiri akapata maadui wa ndani(waislam wenzake) ndipo walipomtoa na kufanya wanavyotaka mwaka 2011......vilevile Saddam, vilevile Husen Mubarak.....taja wengine.......sasa inabidi hawa viongozi wa nchi za kiislam wawe wanajua jinsi ya kusoma alama za nyakati na si kuwa wabishi tu......we angalia Sylia jinsi ilivyo magofu na mtu mpaka leo kang'ang'ania madarakani.......

hawa huwa wanajiondoa madarakani wenyewe kwa kukosa ufahamu wa kuelewa game la ki uongozi.....hata hapa tz nyerere angekomaaa angekiona cha mtema kuni maana sikuzote marekani hana marafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu

Mkuu umeeleza kiuungwana sana.
 
huwa hawali rushwa, hata riba hawapokei pia wengi huwa hawana tamaa za dunia, wanajua siku ya kifo chao watazikwa na shuka moja tu nyeupe!!

Dunia ya leo kama hupokei riba na rushwa lazima waasisi wa rushwa na riba wakumalize!!
mkuu una uhakika na unachokisema? unayajua maisha ya anasa na ufahari wa mfalme wa saudi arabia? unajua kwa nini kuna kituo kikubwa cha majeshi ya marekani saudi arabia wakati hiyo ni nchi ya kiislamu 100%? umejiuliza kwa nini vita vinavyopiganwa sasa hivi zaidi ni katika nchi za kiislamu na wanapigana wao kwa wao? adui wa uislamu ni waislamu wenyewe - kwa unafiki na kutaka utawala. tafakari.
 
Mkuu... ni mtazamo tu na sidhani kama kuna watu wapo mahala flan wanamkakati maalum wa kuwaua eti waislam....sidhan, na fikra kama hizi siyo nzuri maana zina mwelekeo wa kutojiamini....maana kama mtu hajiamini ni tatizo sana...yan suala la mtazamo pia si zuri kwani kama mtu akiamini anaonewa hata ukimfanyia nini atahisi tu ulitakiwa umfanyie zaidi.....ni kama ndugu wa baba mmoja ila kunamwingine pale siyo kwao.......na umri unalingana halaf mama mwenyenyumba kila atakachomfanyia anajihisi sababu yeye si mtoto wa pale.........akinunuliwa viatu halaf vimbane utasikia unaona?, akinunuliwa nguo ya rangi tofauti na wenzake hatakama zote ni mpya utasikia unaona?....yan hata umfanyie nini haishi kulalamika......

Sawa sawa na ndugu zetu waislam.....tuwafundishe watoto kuwa wawajibikaji badala ya kuwajaza chuki kama hizo hapo juu eti mtoto anakuwa anajua kuwa waislam wanaandamwa duniani na wanachukiwa....hiv wanachukuwaje?..

Tunamfahamu Sadam Hussein aliyekuwa rais wa marekani.....alipigana na marekani sababu ya mafuta na ndiyo maana hata viongozi waliopo Iraq kwa sasa bado ni waislam.....nenda lybia pia ni mambo ya kiuchumi zaidi na wakitoa uongozi waaweka muislam mwingine na hawafanyi vinginevyo.....misri nako hali kadhalika

ninachokiona hapa ni kwamba viongozi wengi wa nchi za kiislam hawajitambui......wanapenda udikteta na hawaelewi vizuri mambo ya uongozi kiasi kwamba inawapa adui zao kuweza kuwashinda kirahisi

Hii namaanisha wanapenda sana mabavu na kutawala badala ya kuongoza,......Gadafi ilikuwa afie madarakani kama asingetolewa, na utawala wake nenda watu wakakusimulie jinsi ulivyokuwa......achilia mbali hzi story za nchi kuwa vizur kiuchumi, Saddam nae alikuwa vilevile....anapenda kutawala na wala asingeachia madaraka kama asingetolewa.....kaulize pia ukatili kwa wananchi ulivyokuwepo pindi anatawala....... sitaki kuzungumzia Syria na Misri ambapo watu walikaa madarakani miaka nenda miaka rudi.....

Kifupi binadam wana tendency ya kutaka mabadiliko....na sijui ni nini hasa ila ndivyo mwenyezi Mungu alivyotuumba(Ninaamini hivyo) kwani hata wewe na mimi hatuwezi kula ugali asubuhi, mchana na jion na mboga zilezile wiki nzima na mwezimzima na mwaka mzima.....haitawezekana

vile vile hata kiongozi akiwa mzuri kiasi gani watu hufikia kipindi wakamchoka.....na ndipo hapo ikifikia inakuwa raihisi kwa rais yeyote kuondolewa madarakani......wamarekani walishatakaga kumuondoa madarakani Gadaffi mwaka 1967 kama sikosei ila walishindwa sababu wananchi wote bado walikuwa wanampenda..............

Ila waliposubiri akapata maadui wa ndani(waislam wenzake) ndipo walipomtoa na kufanya wanavyotaka mwaka 2011......vilevile Saddam, vilevile Husen Mubarak.....taja wengine.......sasa inabidi hawa viongozi wa nchi za kiislam wawe wanajua jinsi ya kusoma alama za nyakati na si kuwa wabishi tu......we angalia Sylia jinsi ilivyo magofu na mtu mpaka leo kang'ang'ania madarakani.......

hawa huwa wanajiondoa madarakani wenyewe kwa kukosa ufahamu wa kuelewa game la ki uongozi.....hata hapa tz nyerere angekomaaa angekiona cha mtema kuni maana sikuzote marekani hana marafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu
Mkuu Gaddafi utawala wake ulikuaje
 
huwa hawali rushwa, hata riba hawapokei pia wengi huwa hawana tamaa za dunia, wanajua siku ya kifo chao watazikwa na shuka moja tu nyeupe!!

Dunia ya leo kama hupokei riba na rushwa lazima waasisi wa rushwa na riba wakumalize!!

Kumbe!! Hivyo tu. Kumbe tatizo ni usafi wa matendo yao.
Mapya hayalingani.
 
Ukubwa wa jambo hili zaidi anaujua MUNGU sitaki nifafanue zaidi kukatokea utata. Lakini Marekani na washirika wake wanalijua hili na hii ni kwakua nchi nyingi za kiislamu zimejaaliwa mafuta na huu ndo utajiri wa dunia,Alipata kusema Saddam 65% ya mafuta duniani yanatoka middle east na hii ndo sababu ya wao kupigwa vita. Ukizungumzia swala la kung'ang'ania madarakani hata Field Castro na Mugabe wamefanya hayo na hii kwakua hawakuona umuhimu wakumuachia mwingine ambaye atashindwa kuhimili mikiki ya walaghai wa dunia,hata Yasir Arafat hakupenda Mahamud Abas awe rais wa Palestine mana asingeweza mikiki ya wazungu na ndivyo ilivyokua,wakaamua wamuue na mama Benarzir Butto, ili wabaki wazembe wasipaza sauti. Kinachonifanya niamimi viongozi wa kiislam wapo sawa ni baada ya PUTTIN kuuvalia njuga mgogoro wa sirya.JE NAE NI MUISLAMU?
 
Get u are point, They need watu ambao watawadrive ili wapate wanachotaka
 
Na hawatawapata,kinachoaminika mpaka sasa ni kwamba dunia imeisha,hakuna mtu anaefanya jambo kwa maslahi ya umma,viongozi wengi wanateketeza wananchi kwa maslahi yao binafsi,kuwapata tena watu wenye utu na upendo kwa wengine ni nadra.MUNGU ATULINDE SANA.
 
Back
Top Bottom