AminaKwanini naupenda mti huu.
View attachment 2415649
Kuna historia kubwa sana ya mazingira niliyoishi kwenye udogo wangu .
Miti mingi ilikua ni hii , wenyewe tuliita mi Krismas
Kuchanua kwake kuliashiria holiday-sikukuu imekaribia ,
Na shule inakaribia kufungwa ,
Vilevile Krismas haikua mbali hivyo nguo , viatu vipya vinanukia .
Ni miti maalumu sana ,
Nikiona inachanua nafarijika kukumbuka mambo kemkem yaliyo burudisha maisha yangu zama hizo .
Kiimani .
Mti huu kwangu unafumbo la imani kwa waliokata tamaa.
Mti huu hunyauka kabisa kuanzia Julai , Agost , Septemba na Octoba ....ni mti ambao hukwepa ukali wa jua na ukame kwakuruhusu kupukutisha majani yote .
Huungua kabisa na hutia huruma .
Inapofika wiki ya 3 ya Octoba miti hiyo huchanua maua , na maua huendelea kuufunika mti usio na majani .
Kiimani ,
Mungu husema nasi kupitia mazingira kuwa katikati ya dhiki uskate tamaa .
Katikati ya mateso usikose tumaini ,
Hata unahisi dunia inakuelemea Mungu huleta faraja zake kwa namna aitakayo na apendavyo.
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga
Labda minaziMiti gani hiyo? Tende?
Nyumbani kwa mzee wangu ipo miwili,Mzee anasema aliipanda 1986 hata mimi sijazaliwa,mpaka leo ipo na haina dalili ya kukauka
Barikiwa sanaA
Amina
Aaaaah ww ndio umesema hivyo 😁 ila hata kama sidhan kama ni mizuri kama hii
Jacaranda tree, mingine inakua na maua ya paple ni miti flani mizuri kwakweli.

TREE OF LIFE FOUNDATION mpo?Mti mzuri sana huo
Tupande miti wazeee
Ova
huu mti jina lake unaitwajeKwanini naupenda mti huu.
View attachment 2415649
Kuna historia kubwa sana ya mazingira niliyoishi kwenye udogo wangu .
Miti mingi ilikua ni hii , wenyewe tuliita mi Krismas
Kuchanua kwake kuliashiria holiday-sikukuu imekaribia ,
Na shule inakaribia kufungwa ,
Vilevile Krismas haikua mbali hivyo nguo , viatu vipya vinanukia .
Ni miti maalumu sana ,
Nikiona inachanua nafarijika kukumbuka mambo kemkem yaliyo burudisha maisha yangu zama hizo .
Kiimani .
Mti huu kwangu unafumbo la imani kwa waliokata tamaa.
Mti huu hunyauka kabisa kuanzia Julai , Agost , Septemba na Octoba ....ni mti ambao hukwepa ukali wa jua na ukame kwakuruhusu kupukutisha majani yote .
Huungua kabisa na hutia huruma .
Inapofika wiki ya 3 ya Octoba miti hiyo huchanua maua , na maua huendelea kuufunika mti usio na majani .
Kiimani ,
Mungu husema nasi kupitia mazingira kuwa katikati ya dhiki uskate tamaa .
Katikati ya mateso usikose tumaini ,
Hata unahisi dunia inakuelemea Mungu huleta faraja zake kwa namna aitakayo na apendavyo.
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga
Jacaranda na flamboyant yote inabloom kipindi kimoja,naipenda sana pia.Jacaranda tree, mingine inakua na maua ya paple ni miti flani mizuri kwakweli.
Royal poincianahuu mti jina lake unaitwaje
Ok shukran mzee bujibuji simbaRoyal poinciana
Hii pia ni mizuri sana naona inastawi vizuri sehemu zenye baridi kili ipo mingi ya aina hii
Andss candle light🕯 dinner 🍽 chini ya mti huu ufurahie dunia na shemejiHata mi naupenda sana huo mti unavutia
Ndio. Inapenda baridiHii pia ni mizuri sana naona inastawi vizuri sehemu zenye baridi kili ipo mingi ya aina hii