Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,076
धन्यवादUmesema vizuri.. ahsante sana
धन्यवादMda sio mrefu unaenda kuwa mamajusi. Ukiingia kwenye mambo ya nyota tu naku follow unaweza jua Masihi kazaliwa Tena wapi😄😄
Shukrani kwa elimu Bora. Nimejifunza kitu. .
Hata Idd na Maulid zina miti yake.Kweli aisee huu mti kipindi cha pasaka xmass ni mda wake wa kuchanua maua sijui kwann ni kwa hizi sikukuu tu 😆
Hapo Masihi anahisika😄 sema Bujibuji Simba Nyamaume anaweza kuwa mamajusi namfatilia kwa makini😄😄 sema asije kujisahau akawa Herode tuKweli aisee huu mti kipindi cha pasaka xmass ni mda wake wa kuchanua maua sijui kwann ni kwa hizi sikukuu tu 😆
KumbeHata Idd na Maulid zina miti yake.
Miti gani hiyo? Tende?Hata Idd na Maulid zina miti yake.
Aaaaah ww ndio umesema hivyo 😁 ila hata kama sidhan kama ni mizuri kama hiiHata Idd na Maulid zina miti yake.
Umekuwa ponjoro?धन्यवाद
dhanyavaad
शुक्रियUmekuwa ponjoro?
🤣🤣Aaaaah ww ndio umesema hivyo 😁 ila hata kama sidhan kama ni mizuri kama hii
Lugha kubwa, ina msamiati mpanaशुक्रिय
shukriya.
kumbe kihindi Kuna maneno mengi Yana maana Moja😄
Tunajaribu kujifunza lugha mpya kabla mwaka haujaishaUmekuwa ponjoro?
Ngoja nitafute kadi ya IddiAaaaah ww ndio umesema hivyo 😁 ila hata kama sidhan kama ni mizuri kama hii
Dakika hii unaweza kua umeokoa nafsi nyingi sana kwa uzi wako mwanana! Hapo ulipo agiza ya baridi kabisa ntalipa kwa 'lipa namba'Kwanini naupenda mti huu.
View attachment 2415649
Kuna historia kubwa sana ya mazingira niliyoishi kwenye udogo wangu .
Miti mingi ilikua ni hii , wenyewe tuliita mi Krismas
Kuchanua kwake kuliashiria holiday-sikukuu imekaribia ,
Na shule inakaribia kufungwa ,
Vilevile Krismas haikua mbali hivyo nguo , viatu vipya vinanukia .
Ni miti maalumu sana ,
Nikiona inachanua nafarijika kukumbuka mambo kemkem yaliyo burudisha maisha yangu zama hizo .
Kiimani .
Mti huu kwangu unafumbo la imani kwa waliokata tamaa.
Mti huu hunyauka kabisa kuanzia Julai , Agost , Septemba na Octoba ....ni mti ambao hukwepa ukali wa jua na ukame kwakuruhusu kupukutisha majani yote .
Huungua kabisa na hutia huruma .
Inapofika wiki ya 3 ya Octoba miti hiyo huchanua maua , na maua huendelea kuufunika mti usio na majani .
Kiimani ,
Mungu husema nasi kupitia mazingira kuwa katikati ya dhiki uskate tamaa .
Katikati ya mateso usikose tumaini ,
Hata unahisi dunia inakuelemea Mungu huleta faraja zake kwa namna aitakayo na apendavyo.
Mti huu kwangu hunifunza uvumilivu , kusamehe na kutojiumiza kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wangu.
Heshima kwa Samson Mwasakafyuka Ndwanga
Kuna raia moja wa Kilimanjaro anapenda kuingia jf kwa ajili yako.धन्यवाद
dhanyavaad