1. Kuanzisha Dini Mpya Duniani itakayoitwa ''DINI YA UZALENDO'' (PATRIOTIZM RELIGION) na itakuwa Dini ya Serikali.
/ To introduce new Religion and will be named ''PATRIOTIZM RELIGION'' and will be a Religion of Governing a Government affairs.
2.Kuunda na kuanzisha KITABU KIPYA CHA MAANDIKO MATAKATIFU kitakacho tumika na DINI YA UZALENDO ambacho kitaitwa ''DOGUMA Takatifu''. Kumbuka Dini ya ukristu wana BIBLIA na DINI ya uislam wa KURUANI na hivyo Dini ya UZALENDO itakuwa na DOGUMA Takatifu...
/To Formulate new Scriptures of HOLY WORDS and will be named ''HOLY DOGUMA'' and will be used by the PATRIOTIZM RELIGION.
achana na mambo ya dini awamu hii. serikali yetu, tunataka viwanda! wewe upo sayari, gani kufikiria kuanzisha dini badala ya kufikiria kutumia rasilimali kwa ajili ya maendeleo ya taifa letu.