Kwanini napata error nikiangalia series online ?

shyja

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
410
Reaction score
67
Habari za leo wapendwa?

leo kuna kitu kuhusu hizi movies sanasana hizi series za kikorea. unaposearch kwa kupitia google, unaweza kuzipta sara. tatizo linaijia unapoclick ili uangalie. wanaandika huduma haipatikani nchini mwako.

ukiangalia ni huduma ya bure ambayo haina malipo peyote. sara ningependa kupewa elimu kuhusu hili. je, ni kwa nini wanafanya hivyo? kuna messing him hula inatokea.
 

Attachments

  • Screen Shot 2014-11-16 at 10.17.06 AM.png
    3.6 KB · Views: 204
Hiyo ni message ya webmaster yeye ndie anaechagua watu gani waangalie content zake na anazuia baadhu ya watu sababu ya kimaslahi.

Chukulia mfano hapa jamiiforums awe anaeka matangazo ya tigo na airtel tu, ina maana mtu asietoka tanzania hata akishinda siku nzima jf haleti faida yoyote zaidi ya kujaza server. hivyo waamue mtu yoyote ambaye hatoki tz wasimruhusu kuingia.

Same na hao jamaa ndio hivyo hivyo. hasa ukiangalia video zinakula sana bandwitch.

Solution ni kujua nchi wanazoruhusu na kutumia VPN/proxy
 

Asante chief.

Nimekuelewa.
 
Jibu zuri. Naomba kujua jinsi ya kupata vpn/proxy ya nchi fulani ili niweze kuangalia videos. Na kwenye kompyuta zinabadilishiwa wapi ingawa kwenye simu najua vizuri.
 

Naomba jibu lako la swali la hapo juu.
 
Jibu zuri. Naomba kujua jinsi ya kupata vpn/proxy ya nchi fulani ili niweze kuangalia videos. Na kwenye kompyuta zinabadilishiwa wapi ingawa kwenye simu najua vizuri.

vpn huna haja ya kufanyia configuration unadownload tu.

huwa mara nyingi zinakuwa ni za kulipia pia zipo za bure zenye limitation. za bure unakuta wanakulimit matumizi kwa mb au wanakuekea matangazo, za kulipia ndio zinakuwa unlimited.


kwa sababu wewe unataka kuangalia video inabidi utafute package ya unlimited, kama una credit card na unajua kufanya manunuzi online unaweza nunua mwenyewe, kama huna kuna reseller humu watakutafuta just sema.
 
Tumia software inaitwa Cyber Gost. Ina create VPN na kukufanya uonekane uko nchi nyingine. Kwahiyo kama hiyo huduma inatolewa marekani then wakati wa kufungua Cyber Gost chagua location ya America
 

Kama sikosei chief, pia anaweza kutumia proxy kuitrick webmaster kuwa yupo ktk nchi nyingine tofauti na huku bongo...na njia rahisi ya proxy ni add-on ya firefox inaitwa anonymox...itakusaidia kupata access ktk sites zenye region/content restrictions kama hizo
 
Tumia software inaitwa Cyber Gost. Ina create VPN na kukufanya uonekane uko nchi nyingine. Kwahiyo kama hiyo huduma inatolewa marekani then wakati wa kufungua Cyber Gost chagua location ya America

yaah thats a good alternative pia coz hata mm naitumia palinapotaka nisifutiliwe...
 
Mimi naangalia series online everyday but kwa bahati mbaya sio za kikorea.

Cha msingi ujue kwanza hii ni biashara na kiukweli wamiliki wanapata hela zaidi kupitia mitandao so kupata za bure somtyms zinasumbua. Pia za bure zinaambatana na matangazo mengi, kuwa makini otherwise utaishia kuangalia matangazo tuu..

mfano utaambiwa fix your PC, update driver blah blah.... Kama utapenda kucheck za kizungu angalia kupitia www.watch series.com....ukifika hapo search series yako coz zipo nyingi mno.

Ikikusumbua SMS me.
 
Update Mozilla Firefox...Mozilla mpya wamekuja na njia ya kusearch bila kujulikana upo nchi gani.

Cha kufanya ukisha install (download Mozilla mpya kwenye WEBSITE YAO)...usitumie Google search,

badala yake tumia Duck duck go...hapo utakua invisible online.
 

Mfano ni Kama hiyo pic
 

Attachments

  • 1416281397513.jpg
    30.2 KB · Views: 68
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…