Soma uzi vizuri ulewe kabla ya kukurupuka kuhoji ujinga, nimesema madikteta na wababe wa vita.Savimbi alikuwa dikiteta wa nchi gani? Savimbi hakuwahi kutawala nchi yoyote Afrika licha ya kuwa kiongozi wa chama cha upinzani kama alivyo Maalim Seif Zanzibar.
Osama bin Laden alitawala Mafia!? Acha kutuletea nyimbo za halaiki za CCM, na hapo wengineo mbona hauwataji! Karumekenge!
Nimesema madikteta na wababe wa vita. Kuna vitu 2 hapo. Soma vizuri na uelewe kabla ya kuchangia.Sankara alikuwa Dikteta?
Labda atuambie ni Sankara yupi anaemzungzia hapa!Sankara alikuwa Dikteta?
Wewe ndie unaekurupuka.. Thomas Sankara alikuwa dikteta au mbabe wa vita? Osama bin Laden kaongoza vita gani? Au yeye ni dikteta? Kukaa kimya kwa usivyovijua ni busara.Soma uzi vizuri ulewe kabla ya kukurupuka kuhoji ujinga, nimesema madikteta na wababe wa vita.
Savimbi hakuwa mbabe wa vita, alikuwa ni mpinzani mwenye mtazamo tofauti.Soma uzi vizuri ulewe kabla ya kukurupuka kuhoji ujinga, nimesema madikteta na wababe wa vita.
Nipe maana ya vita, alafu endelee kubisha.San
Wewe ndie unaekurupuka.. thomas sankara alikuwa dikteta au mbabe wa vita? Osama bin Laden kaongoza vita gani? Au yeye ni dikteta? Kukaa kimya kwa usivyovijua ni busara. Unaweza ukapitia nyuzi mbalimbali ukasoma tu na kupitia coment nako ni kujifunza. Sio lazima kuanzisha nyuzi kwa usivyovijua!
Sankara kapigana vita gani na huyo osama kapigana vita gani..... hata historia ya shule ya msingi hiujuiNipe maana ya vita, alafu endelee kubisha.