Ni kweli kuwa maskin wengi wanatabia hizo. Lakin sikuungi mkono eti toa kafara ili mtu afanikiwe ...nope.Ni kweli masikini wengi wana roho mbaya,wivu,chuki,wachawi..n.k....Masikini wengi hawatauona ufalme wa mbinguni...Umasikini ni laana....Jitahidi vyovyote vile uwe tajiri hata ikibidi kutoa kafara au kuiba ....
Hakuna pesa rahisi mkuu huwezi kuwa tajiri bila kwenda kwa mganga wa kienyeji.....Ukitaka pesa halali hautopata utaishia kushinda kwa wachungaji kuombewa na kuwatajirisha kwa sadaka lakini wewe utabaki masikiniNi kweli kuwa maskin wengi wanatabia hizo. Lakin sikuungi mkono eti toa kafara ili mtu afanikiwe ...nope.
Huo utajiri wa kichawi huwa haudumu
Na pia inawezekana wana Akili kubwa iliyosaidia kung'atuka pembeni mapema na kumuacha mwanamke aendelee na ya Dunia.kama Biblia inasema " Wanaume ishini na wake zenu Kwa akili" -maana yake ni kuwa wote walioshindwa kuishi na wake zao hawana akili
Kama ndio mawazo yako kuwa waganga tu ndio wanaleta utajiri pole.Hakuna pesa rahisi mkuu huwezi kuwa tajiri bila kwenda kwa mganga wa kienyeji.....Ukitaka pesa halali hautopata utaishia kushinda kwa wachungaji kuombewa na kuwatajirisha kwa sadaka lakini wewe utabaki masikini
wanawake jukumu lenu ni lipi mkuu?ss tunalipokea letu kwa mikono miwili.Wanaume tafuteni pesa