View attachment 3215776
Sio maneno yangu ni maneno ya mwanasaikolojia. Anasema mwanamke 30yrs hana jipya. Ametumika na wanaume wengi anatafuta pensheni na sio ndoa

Ebo! Yaani mwanamke kasema kuwa 30+sio wakuoa. Ama kweli kawasagia kunguni wanawake wenzie.
Ila ameongea ukweli. Mwanamke kama una miaka 27 hujaolewa aloohh wee nenda kawe sista tuu usituaumbue na "mwanaume tafuta hela" π€£π€£π€£π€£
Ifike muda serikali ikemee hawa wajinga, kutwa tunahangaika na wagonjwa wa afya ya akili sababu ya watu kama hawa, neno lako moja linaweza kumuharibia mwingine maisha yake,
Shame!