ila kiukweli huu uvaaji wa nusu uchi unachangia sana kubakwa hawa mabinti, maana mihemko ya mwanaume rijali inachochewa na kuona sehemu fulani fulani kwa mwili wa mwanamke, sasa hawa madada hizo sehemu zote za mihemko wanaziacha wazi wakati kuna midume mingine ya shoka yenye nguvu ya simba na isiyo ogopa risasi, ina ugwadu wa siku nyingi wa kufa mtu, kila ikitongoza inachomolewa na inakuta hawa mabinti wamejiweka kihasara hasara tena katika angle ambazo zimetulia kulazimisha ulaji wa tunda la mti wa katikati!! nani wa kulaumiwa!!??, ingawaje midume mingine inazidisha ugwadu au nadhani ni imani za kishirikina kubaka vikongwe wa miaka sabini na kuendelea. Ni hayo tu.