Kwanini mwanamke akibeba mimba anadeka sana?

Daaah! nimekuwa nae karibu kwa mimba ya binti yangu,Yaaaani mboga au chakula chenye mchuzi atatapika mpaka huruma.Uzuri hakunichukia noma ni pale ukichelewa kurudi home
 
acha tu adeke kwani Kuna tatizo mkuu?
 
Hivi hujui mwanmke akideka ni raha sana, hata akiwa mbaya kisura anapendeza,.Chukulia tungekuwa tunapokezana kubeba mimba kati ya mwanamke na mwanamme nahsi wanaume vituko vingizidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…