Pole mkuu, vumilia ni shida za mda tu.nakumbuka miaka Ile ya 93 maza alikua mjamzito ila alikua anapiga kazi balaa kule marangu utamkuta kwenye majani, kufagia mbolea, kwenda sokoni nk yaani mpaka anajifungua yupo bize.. sasa hichi kizazi cha leo wakibeba mimba mwanaume utakoma mara chips kuku, mara baga daa.. mm wife ni mjamzito sasa nilimfungulia duka sasa nipo zangu kikazi mbeya kule imekua kero kila saa simu nikipiga cm kafunga duka leo nimerudi yaani ni anadeka balaa hivi kwa nn kizazi hichi wanadeka hivi?
Tukimpata wa kumdekea tunadeka kwa raha zetu
[emoji126] [emoji126] [emoji126]wacha weee njoo nikudekeze mwayaaa kwa raha zako
Na ni muhimu kumbembeleza..kwa iyo yawezekana nambembeleza