johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Huko wanazalisha watu wa aina ya akina Saabaya na akina Hamza!!!! Hili wamefanikiwa sana na wapo wengine akina Heri James, Kihongosi, green guard etcMaana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu wa UVCCM hatuwaoni kabisa
Hakuna asiyependa kutembelea vieiteNaomba ufafanuzi kutoka kwa mwenezi wa CCM komredi Shaka ambaye ametokea UVCCM hivi pale Vijana hamuandai viongozi watarajiwa tena.
Maana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu wa UVCCM hatuwaoni kabisa.
Bananga anasema mkewe ni mnyamwezi hivyo anaomba apewe kazi CCM kana kwamba huko CCM hakuna wanyamwezi.
Tangu aondoke bwana mdogo Emmanuel Nchimbi UVCCM haisikiki kabisa, tatizo ni nini lakini?
Mungu ni mwema wakati wote.
🤣🤣🤣kweliKwa mifano ya akina Makonda,Sabaya,Mnyeti,Byakanwa,Hamza,Shaka,Kihongosi,Kingai etc. Nani ataendelea kuwaamini UVCCM? NI kikundi fulani cha kusifia,kulamba miguu,kutosha watu,kupokea maelekezo kutoka juu nk. Hawana hoja tena.
Wanasagiwa kweli kweliMwendo wa kusagia kunguni wasakatonge!
Well saidViongozi wengi wa CDM kwa sasa wamewazidi thamani wale wa CCM, Mfano:
Mnyika vs Chogolo
Pambalu vs Shaka
Mwisho wa siku chuya lazima zijitenge na mchele.
UVCCM are so desperate. Wakitumwa kumua bosi wao ili wapate teuzi wako tayari kufanya hivyo.Naomba ufafanuzi kutoka kwa mwenezi wa CCM komredi Shaka ambaye ametokea UVCCM hivi pale Vijana hamuandai viongozi watarajiwa tena.
Maana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu wa UVCCM hatuwaoni kabisa.
Bananga anasema mkewe ni mnyamwezi hivyo anaomba apewe kazi CCM kana kwamba huko CCM hakuna wanyamwezi.
Tangu aondoke bwana mdogo Emmanuel Nchimbi UVCCM haisikiki kabisa, tatizo ni nini lakini?
Mungu ni mwema wakati wote.
Umeusema ukweli woteKimsingi Cdm ndio chama chenye mvuto kwa wananchi, hivyo ccm inaamini ikimchukua mtu toka Cdm atahama na nyota ya Cdm kukubalika. Ccm wamefanya yote hayo lakini bado hawapati mvuto, mbinu wanayotumia sasa ni kuhakikisha Cdm hawapati nafasi ya kufanya ushawishi kwa umma, maana wanajua watu wanavutiwa na cdm zaidi. Kwa sasa ukitaka cheo ccm, nenda Cdm kisha omba jukwaa ufanye siasa, ukirudi ccm lazima upate ulaji, na hata usipopata unakuwa kwenye quie kusubiri nafasi yoyote ikitokea unapewa.
Mkuu si kweli UVCCM wako wengi mno walio na uzalendo ,ari na maarifa makubwa......UVCCM are so desperate. Wakitumwa kumua bosi wao ili wapate teuzi wako tayari kufanya hivyo.
Hao si watu wa kuwateua.
🤣🤣🤣Mkuu si kweli UVCCM wako wengi mno walio na uzalendo ,ari na maarifa makubwa......
IMHO umeamua tu kuikumbatia FALLACY.....
😲😲Kwa hiyo akitokea UVCCM mmoja "kolo" ina maanisha sisi sote ni "makolo"?!!Uvccm ni chimbo la kupika majambazi
Wapi mzee wa shule ya uongozi??? Hujambo bwana mwita waitara???Hakuna asiyependa kutembelea vieite
Ni ccm ya jiwe sio ccm hii.Kimsingi Cdm ndio chama chenye mvuto kwa wananchi, hivyo ccm inaamini ikimchukua mtu toka Cdm atahama na nyota ya Cdm kukubalika. Ccm wamefanya yote hayo lakini bado hawapati mvuto, mbinu wanayotumia sasa ni kuhakikisha Cdm hawapati nafasi ya kufanya ushawishi kwa umma, maana wanajua watu wanavutiwa na cdm zaidi. Kwa sasa ukitaka cheo ccm, nenda Cdm kisha omba jukwaa ufanye siasa, ukirudi ccm lazima upate ulaji, na hata usipopata unakuwa kwenye quie kusubiri nafasi yoyote ikitokea unapewa.
Ni ccm ya jiwe sio ccm hii.
Hii unaunga juhudi bila pesa