Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Nimewahi kusikia kuwa kabla ya uhuru wa Tanganyika kusini mwa Tanzania Mkoa wa Mtwara kuliwahi na Railway line iliokua inaunganisha Mtwara na Wilaya ya Nachingwea. Aiadha mara baada ya uhuru wa Tanganyika serikali ya Mwalimu ikaamua kung'oa reli hiyo na kwenda kujenga reli ya Dar/Moshi. Kwa ufahamu wangu naamini kuwa wazungu (wakoloni) walioamua kujenga reli hiyo walikua na madhumuni yao kwa mikoa ya kusini mwa Tanganyika. Lakini mpaka hivi sasa sijui kwa nini Wazungu waliamua kujenga Reli kusini na Kwa nini serikali ya Mwalimu iliamua kung'oa reli hiyo?........Naomba wan jf kwa yeyote ambae ana ufhamu mzuri kuhus hili basi anifahamishe na mimi niongeze ufahamu wangu.....nawakilisha.
Reli ilikuwa mtwara - masasi na iling'olewa na simba wa Vita mzee, marehemu Rashid Mfaume Kawawa wakati akiwa waziri mkuu. sina kumbukumbu sahihi ni kipi kilichomkasirisha hadi kumshauri mwalimu aing'oe! Hata hivyo mjadala unapoelekea kidini inakuwa ni ujinga mkubwa
Nasikia Nyerere alikuwa anaogopa mashambulizi ya Wareno na Makaburu kutokea Msumbiji enzi za Kupigania Uhuru Kusini Mwa Afrika
unajuwa enzi hizo vipaumbele vya reli na kuweka rami vilivuata zaidi uchumi wa eneo husika yaani nini kilichopo eneo husika ambacho kinaweza kuiletea taifa na kuingizia taifa mapato so nadhani kama ilikuwepo waling'owa kwa sababu ya kuwa eneo husika halikuwa na tija kiuchumi
mapinduziiii daimaaaaa
Udini wa nyerere hachomiki evidence is everywhere
Wote mnaochangia hapa mnatoa hisia tu, hakuna mwenye vivid evidence ya kwanini mwl alifanya hivyo. Kama suala ni udini eti kuwadhulumu waislam, jiulize huyo Kawawa aliyekua Waziri Mkuu ni wa dini gn? Binafsi sidhani kama ni udini kwani waziri mkuu na washauri wengine wa mwl. wasingekubali. Tuache kila kitu kukurupukia udini, udinh, udini, wewe udini unaujua ?? Anachokifanya ****** tukianzakusema udini nani ataponea? Achakutumia masaburi kufikiri.
RELI YA DAR MTWARA ILIKUA INAPITA NJIA GANI? We kweli kilaza reli ni njia tena ipite jua ya njia, RELI YA TAZARA inapita njia gani? Bogus we.Kwa hiyo Kikwete asilaumiwe kwa sababu hata Nyerere nae alikuwa na mapungufu??? Hizo hoja ni pumba kabisa!! Kama kumtetea JK ndio kuleta mambo ya hovyo hovyo namna hi basi kazi ipo!!
-Hiyo reli ya Dar-Mtwara ilikuwa inapita njia gani?
-Iling'olewa lini na kwa amri ya nani?
Huenda ikawa ni kwa sababu reli hiyo haijawahi kuwepo.website ya wizara ya usafirishaji haisemi kitu kuhusu hii reli kungolewa
hapana, nyerere ni mkatolikiKwa Nyerere ni Mungu Mtu?
RELI YA DAR MTWARA ILIKUA INAPITA NJIA GANI? We kweli kilaza reli ni njia tena ipite jua ya njia, RELI YA TAZARA inapita njia gani? Bogus we.
Na hata chuo kikuu cha mwanzo nchini kingekuwa ni Chan'gombe cha waislamu kama si Nyerere.Waliochangia chuo kikuu cha mlimani wengi ni waislamu kuliko wao wakristo.Waislamu walihamasisha kuvumbua lakini wakristo waliuwa wavumbuzi.Kuogopa umande kuko wapi hapa?.nimesoma majibu ya watu wengi, wengi wameonesha udini, lakini muulizaji hajalenga kwenye udini, sioni sababu ya kuambiwa watu wamekimbia umande, sioni sababu ya kusema muulizaji kaenda madrasa, labda nikufahamisheni kitu kimoja, madrsa imeanza kufundisha ngozi ina sense organs miaka elfu moja mia nne iliyopita, madrasa imefundisha juwa linazunguka miaka elfu moja mia nne iliyopita, madrasa imefundiha reproduction system miaka elfu moja mia nne iliypopita, na stages we human beings are going through in our mothers woumb, kitu ambacho chromologist (hapa herufi zimenipita) wamegunduwa juzi, kwa hiyo madrasa imertufundisha science ambayo mpaka leo wanaoenda shule hawaijui. vita vya majimaji vimepiganwa na watu walioenda madrasa, waliandikiana barua na kuwasiliana, sasa unasema madrasa haina elimu, au elimu ni kuandika herufi ambazo mimi na wewe tunazielewa. acheni ubwege, wajapani wagunduzi hawazijui herufu hizi, amkeni. au ndio maana hamzitaki shule za kata kwa sababu wanaoogopa umande sasa wataenda shule(ahhhhhhhhhhhhhh kumbe walikuwa hawaogopi umande walifanyiwa kusudi na wakoloni)............... mimi nawapenda wakolonui walivyotugawa kwa sababu tumebaki tunajisifu ujinga na tunaendeleza ujinga............... bye